Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Nilikuaga na couple moja humua inaitwa angelicious 2014/2015 sijui bado ipogo mwee
 
Sawa maana nishazoea kukataliwa tu[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji134] [emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie Daby akutafutie kopo moja uhangaike nalo [emoji6]
 
Mkuu nimeshajeruhiwa, nisije nikamtaja, kumbe ndio wake kisela!
Poa mkuu, mimi naendelea kupambana na hali yangu hapa.

Nikiona upepo hausomeki nasepa kule jukwaa la Elimu kwa uzi wa Mchikichini naenda kupata vioja vya wadau[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…