Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Tatizo wanamajina magumu sana yanatia ukakasi vidoleni hayaandikiki kabisa ngoja niendelee kuwakumbuka taratibu.Mmmhhh
Una majirani na mabebi kibao hali haiwezi kuwa mbaya
Ila wamejua kunichunia sijui ninanyota ya upepo [emoji57][emoji57]
Maana kila ajaye lazima apeperuke.