Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mmmhhh

Una majirani na mabebi kibao hali haiwezi kuwa mbaya
Tatizo wanamajina magumu sana yanatia ukakasi vidoleni hayaandikiki kabisa ngoja niendelee kuwakumbuka taratibu.
Ila wamejua kunichunia sijui ninanyota ya upepo [emoji57][emoji57]
Maana kila ajaye lazima apeperuke.
 
Nleterewa Nganengo unamjua? Hili jina ni gumu sana, Thad alinifundisha kuliandika ila kutamka siliwezi

Ukitaka uwe na nyota ya kukubaliwa nikubali mimi utaona wale wote wanarudi
 
Mzigo ale mwingine majina mapenzi uniite mm...sitaki hayo mambo
Moja ya watu nilitikea kuwakubali humu na ww upo mzee baba.
Upo straight sanaa.

Mara nyingi watu wa dizain yako unakuta kuna mtu ulikuwa nae tena superwoman then mungu akamchukua.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona unakimbia sasa
Hizi likes za kimya kimya huwa naziogopa sanaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mzee mie sina niko single tena single hasaaa,na starajii kuiba mke wa mtu.
Nmeiogopa sana likes ako iko kimya kimya mnooo[emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mkuu kuwa na Amani kabisa wala usiwe na shaka lolote.

1. Like hutolewa pale mtu anapoikubali post yako kama pongezi juu ya hicho ulichokichangia.

2. Pia mara nyingi kwa watu waliozoeana, akiona post ya huyo aliyomzoea humpa like pia.

Kwa hizo hoja hapo juu, nimekupa like kwa kuzingatia hoja namba 1, hoja namba 2 naitumia sana kwa watu niliozoeana nao, hata kama kaweka kaemoji nikipita nikaiona nitampa like.
 
Mkuu [emoji122][emoji122] nafurah sanaa umeelewa nilichomaanisha.
Kula [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109].
 
Back
Top Bottom