Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Ole wakolike serious???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ole wakolike serious???
Wapendwa kwaherini! Nimefurahi kuwa nanyi jioni ya leo, wacha nikapambane kike sasa.[emoji8] [emoji8]like serious???
Embu acha uwoga pambana kike
Ahahahaaaaaa baby bwana mambo ya chumbani unayaleta kibarazani. Sasa hapa Thad anafurahia Sana kuskia hatuongei
Sawa uje na mrejesho positiveWapendwa kwaherini! Nimefurahi kuwa nanyi jioni ya leo, wacha nikapambane kike sasa.[emoji8] [emoji8]
Okeyila usijali haujui kinachoendelea kihivyo
Ole wako
poa shem,,,,,kupambana kikike ndio vipiWapendwa kwaherini! Nimefurahi kuwa nanyi jioni ya leo, wacha nikapambane kike sasa.[emoji8] [emoji8]
Mkwe hivi una habari naweza kukulaani na laana ikakushika kabisa!!!Hahah ndio maana nakawia sana kuleta mahari kwa mwanayumba wangu Heaven Sent
halafu nikitaka kumtumia mzee muamala wa kahawa sijui natuma kwa nani hapo
Ila umenikumbusha huyo Rogie kuna wakati ulitamba naye sana humu mkwe wewe ni chiboko yao
Mapenzi upofu baby wangu, vitu vingine jitahidi kuvumilia tuu.siendi hutaniwi na wewe Baby?
tuko pamoja loveOkey
hilo tu usijali sweetheartMapenzi upofu baby wangu, vitu vingine jitahidi kuvumilia tuu.
Hapana mkwe, hiyo ilikuwa zilipendwa. Kuanzia disemba 2017 mpaka sasa bado naandaa list yake.
We mswahili kwani unataka kunioa mimi? Huishi visingizio kila siku una jipya!! Kilichobaki ni kukuroga tu.Huu ukwe tu ndio umeninyima namba kucheza uwanja huo wa nyumbani...
Mkwe hivi una habari naweza kukulaani na laana ikakushika kabisa!!!
Kwani baba wa mwanangu humfahamu mpaka usijue wa kumtumia muamala?!!
Mkwe kila siku una kisingizio kipya tu, hivi huyu Heaven Sent unamtaka kweli!!!!
DUWe mswahili kwani unataka kunioa mimi? Huishi visingizio kila siku una jipya!! Kilichobaki ni kukuroga tu.