Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Hahah ndio maana nakawia sana kuleta mahari kwa mwanayumba wangu Heaven Sent

halafu nikitaka kumtumia mzee muamala wa kahawa sijui natuma kwa nani hapo

Ila umenikumbusha huyo Rogie kuna wakati ulitamba naye sana humu mkwe wewe ni chiboko yao
Mkwe hivi una habari naweza kukulaani na laana ikakushika kabisa!!!

Kwani baba wa mwanangu humfahamu mpaka usijue wa kumtumia muamala?!!
Mkwe kila siku una kisingizio kipya tu, hivi huyu Heaven Sent unamtaka kweli!!!!
 
Mkwe kabla hujanilaani ngoja nimalizie

Pili kwenye hiyo list ya wazee iliotaja kuna wawili siwaelewi vimaneno maneno wanavyomuandikia Heaven mimi naangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…