Teh teh..Happy new year bro..HS ndo kakuficha hivyo?Huu ukwe tu ndio umeninyima namba kucheza uwanja huo wa nyumbani...
uvivu wakuandikaCOPO>>>>>>>COUPLE
Umenena vyema mkuuKUNA MAMBO MENGI YA KUFANYA SIO KUWAZA MAPENZI YA KUFIKIRIKA....UMRI UNAKWENDA
kweli mkuu hivi mimi nitaanza vipi kukupenda wakati hata sina uhakika kama huyo kwenye picha ni wewe???!!!Umenena vyema mkuu
MI WANGU NINAYE KWENYE UBAVU VYUMA VIMEKAZA NA SIE TUNAKAZANAweekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.
Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani zimelala zingine zime seaze! mwaka Juzi ilikuwa ukikatisha humu 70% ya maneno ni baby love sweet honey na furaha za kufa mtu. Kulikoni mazee, tunapenda kuwaona tena mjue! Kwa uchache:-
STUNTER tuseme anadownload pesa, sawa mwaka unaisha shemeji jje's kaamua kuwa msomaji.
Shunie na lee empire [ Lyon Lee] siwaoni.
Bailly5 na Madame S sijawasahau
kiwatengu na shansarie tuseme washazeeka sasa je, Saint Ivuga na Inna?
Heaven Sent na Benny labda toka waende vacation hawajarudi je, The bold na Nifah!
Nyani Ngabu na Kasinde ilibaki historia sawa , pia Mentor na Evelyn Salt kama barafu ikaanza kuyeyuka taratibu taratibu. mshana na Angel Nylon sijui tunguli zimemgomea!
Mbona kasi hupungua haraka humu, naamini wengi basi mnayahamishia mashamsham nje ya JF hongereni saana asee, muwe mnaleta mirejesho ya ndoa nasi tujikoki humu kuna watoto wazuri.
Niwapongenze kindakindaki hawa wanne Putin kwa mima na Beira Boy kwa MBITIYAZA pamoja wanakuja kwa kasi saana, naamini watafanya makubwa wenzao tuliyoshindwa kuyafanya.
muwe wapole hizi ni salamu tu
Naweza kuanzisha uhusiano na zainabu cku ya kuonana akawa ni dada yangu, kumbe ana2100 jina na picha bandia. BORA TUWEKE COOPLE KTK LIFE.Umenena vyema mkuu
Hahaha sawa me too..uvivu wakuandika
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Aisee kwahiyo wewe moyo wako unasukuma mapenzi tu, kusukuma damu unaomba moyo wa jirani....
Neybright mama ulipishana na gari la mshahara my dear! [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56][emoji23] [emoji23] [emoji23] kuwa mwl.sio issue, issue ni je,ungeweza kumbebisha kama anavyobebishwa na Joseverest?
Mimi details zangu za kweli na hiyo picha ni mm mwenyewekweli mkuu hivi mimi nitaanza vipi kukupenda wakati hata sina uhakika kama huyo kwenye picha ni wewe???!!!
Ni kweli mkuu ila mi details zangu za kweli na hiyo picha ni mm mi msema kwelikweli mkuu hivi mimi nitaanza vipi kukupenda wakati hata sina uhakika kama huyo kwenye picha ni wewe???!!!
Shem njoo PM [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] pako wazi[emoji15] [emoji15] [emoji15] shem vp shost bado kakununia nije?
Mwaenda zungumza nini huko pm baby wangu?Shem njoo PM [emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] pako wazi
[emoji144] [emoji144] [emoji87] [emoji87] mazungumzo ya watu wawili tu..ila ni ya kishemejishemejiMwaenda zungumza nini huko pm baby wangu?
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.
Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani zimelala zingine zime seaze! mwaka Juzi ilikuwa ukikatisha humu 70% ya maneno ni baby love sweet honey na furaha za kufa mtu. Kulikoni mazee, tunapenda kuwaona tena mjue! Kwa uchache:-
STUNTER tuseme anadownload pesa, sawa mwaka unaisha shemeji jje's kaamua kuwa msomaji.
Shunie na lee empire [ Lyon Lee] siwaoni.
Bailly5 na Madame S sijawasahau
kiwatengu na shansarie tuseme washazeeka sasa je, Saint Ivuga na Inna?
Heaven Sent na Benny labda toka waende vacation hawajarudi je, The bold na Nifah!
Nyani Ngabu na Kasinde ilibaki historia sawa , pia Mentor na Evelyn Salt kama barafu ikaanza kuyeyuka taratibu taratibu. mshana na Angel Nylon sijui tunguli zimemgomea!
Mbona kasi hupungua haraka humu, naamini wengi basi mnayahamishia mashamsham nje ya JF hongereni saana asee, muwe mnaleta mirejesho ya ndoa nasi tujikoki humu kuna watoto wazuri.
Niwapongenze kindakindaki hawa wanne Putin kwa mima na Beira Boy kwa MBITIYAZA pamoja wanakuja kwa kasi saana, naamini watafanya makubwa wenzao tuliyoshindwa kuyafanya.
muwe wapole hizi ni salamu tu
Sawa Ila mioyo yenu ikidondokeana msisite kunipa taarifa maana nikigundua mwenyewe mmoja wenu atakuwa halali yangu [emoji41].[emoji144] [emoji144] [emoji87] [emoji87] mazungumzo ya watu wawili tu..ila ni ya kishemejishemeji
Yamekuwa hayo tena? Baby huniamini[emoji15] [emoji15] [emoji32] [emoji32] [emoji46] [emoji46]Sawa Ila mioyo yenu ikidondokeana msisite kunipa taarifa maana nikigundua mwenyewe mmoja wenu atakuwa halali yangu [emoji41].