Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.

Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani zimelala zingine zime seaze! mwaka Juzi ilikuwa ukikatisha humu 70% ya maneno ni baby love sweet honey na furaha za kufa mtu. Kulikoni mazee, tunapenda kuwaona tena mjue! Kwa uchache:-

STUNTER tuseme anadownload pesa, sawa mwaka unaisha shemeji jje's kaamua kuwa msomaji.

Shunie na lee empire [ Lyon Lee] siwaoni.
Bailly5 na Madame S sijawasahau

kiwatengu na shansarie tuseme washazeeka sasa je, Saint Ivuga na Inna?

Heaven Sent na Benny labda toka waende vacation hawajarudi je, The bold na Nifah!

Nyani Ngabu na Kasinde ilibaki historia sawa , pia Mentor na Evelyn Salt kama barafu ikaanza kuyeyuka taratibu taratibu. mshana na Angel Nylon sijui tunguli zimemgomea!

Mbona kasi hupungua haraka humu, naamini wengi basi mnayahamishia mashamsham nje ya JF hongereni saana asee, muwe mnaleta mirejesho ya ndoa nasi tujikoki humu kuna watoto wazuri.

Niwapongenze kindakindaki hawa wanne Putin kwa mima na Beira Boy kwa MBITIYAZA pamoja wanakuja kwa kasi saana, naamini watafanya makubwa wenzao tuliyoshindwa kuyafanya.

muwe wapole hizi ni salamu tu
MI WANGU NINAYE KWENYE UBAVU VYUMA VIMEKAZA NA SIE TUNAKAZANA
 
kweli mkuu hivi mimi nitaanza vipi kukupenda wakati hata sina uhakika kama huyo kwenye picha ni wewe???!!!
Ni kweli mkuu ila mi details zangu za kweli na hiyo picha ni mm mi msema kweli
 
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.

Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani zimelala zingine zime seaze! mwaka Juzi ilikuwa ukikatisha humu 70% ya maneno ni baby love sweet honey na furaha za kufa mtu. Kulikoni mazee, tunapenda kuwaona tena mjue! Kwa uchache:-

STUNTER tuseme anadownload pesa, sawa mwaka unaisha shemeji jje's kaamua kuwa msomaji.

Shunie na lee empire [ Lyon Lee] siwaoni.
Bailly5 na Madame S sijawasahau

kiwatengu na shansarie tuseme washazeeka sasa je, Saint Ivuga na Inna?

Heaven Sent na Benny labda toka waende vacation hawajarudi je, The bold na Nifah!

Nyani Ngabu na Kasinde ilibaki historia sawa , pia Mentor na Evelyn Salt kama barafu ikaanza kuyeyuka taratibu taratibu. mshana na Angel Nylon sijui tunguli zimemgomea!

Mbona kasi hupungua haraka humu, naamini wengi basi mnayahamishia mashamsham nje ya JF hongereni saana asee, muwe mnaleta mirejesho ya ndoa nasi tujikoki humu kuna watoto wazuri.

Niwapongenze kindakindaki hawa wanne Putin kwa mima na Beira Boy kwa MBITIYAZA pamoja wanakuja kwa kasi saana, naamini watafanya makubwa wenzao tuliyoshindwa kuyafanya.

muwe wapole hizi ni salamu tu

Namshukuru Mungu yangu bado iko poa.
 
[emoji144] [emoji144] [emoji87] [emoji87] mazungumzo ya watu wawili tu..ila ni ya kishemejishemeji
Sawa Ila mioyo yenu ikidondokeana msisite kunipa taarifa maana nikigundua mwenyewe mmoja wenu atakuwa halali yangu [emoji41].
 
Yamekuwa hayo tena? Baby huniamini[emoji15] [emoji15] [emoji32] [emoji32] [emoji46] [emoji46]
 
Back
Top Bottom