Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Thanks my love..unanipa maraha ya dunia najihisi mfalme wa dunia [emoji173] [emoji173] [emoji173]
Acha nikupetipeti tuu sura iwe na nuru kila akutazamae avutiwe na wewe alafu unisaliti,[emoji17] ooooooh CHINEEKEEE i will buy a machine gun [emoji379] special for MICHEPUKO.
 
Acha nikupetipeti tuu sura iwe na nuru kila akutazamae avutiwe na wewe alafu unisaliti,[emoji17] ooooooh CHINEEKEEE i will buy a machine gun [emoji379] special for MICHEPUKO.
aseeh kumbe unanijali hivi my love, asante sana naaahidi kukuonesha upendo zaidi

Halafu usijali yule aliyekuwa ananifuatilia hapa hayupo[emoji4] [emoji5]
 
Mkuu hizi couple zinasajiliwa wapi nami nikasajili yakwangu?
 
Nitumie jina na mwenzi wako nuwasajili haraka kabla nafasi hazijajaa

Jina lake
Umri
Mahali anapoishi
Namba yake ya simu
Umbo lake
Ngoja kwanza mkuu niandae taarifa sahihi.
 
The Bold na Nifah living together now! Nifah nimemkataza kuingia humu... drama nyingi sana humu JF. And that was the best decision ever... she is happier kuliko nimewahi kumuona before
 
Nitumie jina na mwenzi wako nuwasajili haraka kabla nafasi hazijajaa

Jina lake
Umri
Mahali anapoishi
Namba yake ya simu
Umbo lake
Nuwasajili[emoji808] niwasajili [emoji818]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…