Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Nimeweka angalizo tuu,Yamekuwa hayo tena? Baby huniamini[emoji15] [emoji15] [emoji32] [emoji32] [emoji46] [emoji46]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeweka angalizo tuu,Yamekuwa hayo tena? Baby huniamini[emoji15] [emoji15] [emoji32] [emoji32] [emoji46] [emoji46]
Utaniua kwa presha sasa[emoji19] [emoji30]Nimeweka angalizo tuu,
[emoji23][emoji23][emoji23]Utaniua kwa presha sasa[emoji19] [emoji30]
i will be honest, worry out you are my everything love[emoji173][emoji23][emoji23][emoji23]
If you don't want to die be honest to me [emoji6].
Okey baby boyi will be honest, worry out you are my everything love[emoji173]
Thanks my love..unanipa maraha ya dunia najihisi mfalme wa dunia [emoji173] [emoji173] [emoji173]Okey baby boy
Acha nikupetipeti tuu sura iwe na nuru kila akutazamae avutiwe na wewe alafu unisaliti,[emoji17] ooooooh CHINEEKEEE i will buy a machine gun [emoji379] special for MICHEPUKO.Thanks my love..unanipa maraha ya dunia najihisi mfalme wa dunia [emoji173] [emoji173] [emoji173]
aseeh kumbe unanijali hivi my love, asante sana naaahidi kukuonesha upendo zaidiAcha nikupetipeti tuu sura iwe na nuru kila akutazamae avutiwe na wewe alafu unisaliti,[emoji17] ooooooh CHINEEKEEE i will buy a machine gun [emoji379] special for MICHEPUKO.
Hapana, kila mmoja kwa wakati wake teh!!Dah, tulipangwa[emoji16][emoji16][emoji16]
Ngoja kwanza mkuu niandae taarifa sahihi.Nitumie jina na mwenzi wako nuwasajili haraka kabla nafasi hazijajaa
Jina lake
Umri
Mahali anapoishi
Namba yake ya simu
Umbo lake
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.
Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani zimelala zingine zime seaze! mwaka Juzi ilikuwa ukikatisha humu 70% ya maneno ni baby love sweet honey na furaha za kufa mtu. Kulikoni mazee, tunapenda kuwaona tena mjue! Kwa uchache:-
The bold na Nifah!
The bold na nifah kuna linaloendelea nyuma ya pazia pengine washamwagana! maana Nifah haonekani tena since july 03 2017.
The Bold na Nifah living together now! Nifah nimemkataza kuingia humu... drama nyingi sana humu JF. And that was the best decision ever... she is happier kuliko nimewahi kumuona before
Lives [emoji23]Labda wameamua kutoonyesha tena Personal lives zao publicly.
Yeah lives.Lives [emoji23]
Nuwasajili[emoji808] niwasajili [emoji818]Nitumie jina na mwenzi wako nuwasajili haraka kabla nafasi hazijajaa
Jina lake
Umri
Mahali anapoishi
Namba yake ya simu
Umbo lake