The Bold na Nifah living together now! Nifah nimemkataza kuingia humu... drama nyingi sana humu JF. And that was the best decision ever... she is happier kuliko nimewahi kumuona before
Dah, mkuu unamktaza vipi mwenzako kuingia jf? Umemnyima uhuru 200%, she deserves freedom japo unasema ameridhia. I bet she's changed her username.The Bold na Nifah living together now! Nifah nimemkataza kuingia humu... drama nyingi sana humu JF. And that was the best decision ever... she is happier kuliko nimewahi kumuona before
Dah, mkuu unamktaza vipi mwenzako kuingia jf? Umemnyima uhuru 200%, she deserves freedom japo unasema ameridhia. I bet she's changed her username.
Namuunga mkono mimi maana bado siye ndiye Tunaendelea kuwatongoza acha tuwapangie[othrwise kanitongoza]Dah, mkuu unamktaza vipi mwenzako kuingia jf? Umemnyima uhuru 200%, she deserves freedom japo unasema ameridhia. I bet she's changed her username.
Hapana chief... jf namna ilivyo sasa its not a 'healthy' place! There is too much negativity...Dah, mkuu unamktaza vipi mwenzako kuingia jf? Umemnyima uhuru 200%, she deserves freedom japo unasema ameridhia. I bet she's changed her username.
Hahaha... mkwe, mjukuu wako hataki kabisa kuwa humu. Unajua matumizi ya jf yana addiction flani hivi. Sasa ukifanikiwa kuvunja hiyo addiction huwezi kutamani kuirudiaHajajua tu kuwa binadamu hachungwi/hakatazwi.
Unaweza kukuta bibie anajimwaya na ID nyingine ye anajiaminisha amemkataza LOL
[emoji23][emoji23]Sio kufunga kuwapa block Block Ubavu wa kufunga mm Sna napenda Kutongozwa jaman
Ohoo kumbe ueye ndo hataki. Nikadhani wewe ndo umemkataza. Ningekurudishia mahari yako.Hahaha... mkwe, mjukuu wako hataki kabisa kuwa humu. Unajua matumizi ya jf yana addiction flani hivi. Sasa ukifanikiwa kuvunja hiyo addiction huwezi kutamani kuirudia
If that makes them happy as he said its well and good.Dah, mkuu unamktaza vipi mwenzako kuingia jf? Umemnyima uhuru 200%, she deserves freedom japo unasema ameridhia. I bet she's changed her username.
Ni kweli humu kuna negativity sana, inasikitisha kwanini watu wanakuwa hivi.Hapana chief... jf namna ilivyo sasa its not a 'healthy' place! There is too much negativity...
Honestly ananishukuru kwa kumkataza kiingia humu... mimi mwenyewe nilipopumzishwa ile miezi minne ndio nikarealise kuwa "huwezi kuona ubaya wa kitu mpaka ukiwa nje yake". Ndio maana siko active sana siku hizi... naingia kwa kudonoa donoa tu, na siku si nyingi nitawaaga humu ndugu zangu jamaa na marafiki
Usiage rafiki binadamu huwezi kuwakwepa.Hapana chief... jf namna ilivyo sasa its not a 'healthy' place! There is too much negativity...
Honestly ananishukuru kwa kumkataza kiingia humu... mimi mwenyewe nilipopumzishwa ile miezi minne ndio nikarealise kuwa "huwezi kuona ubaya wa kitu mpaka ukiwa nje yake". Ndio maana siko active sana siku hizi... naingia kwa kudonoa donoa tu, na siku si nyingi nitawaaga humu ndugu zangu jamaa na marafiki
Well...!!If that makes them happy as he said its well and good.
Hahaha....Namuunga mkono mimi maana bado siye ndiye Tunaendelea kuwatongoza acha tuwapangie[othrwise kanitongoza]
Kwa hiyo nawe umemnyima Patience123 hata kulike vipost vyetu?
Hahahah dohOhoo kumbe ueye ndo hataki. Nikadhani wewe ndo umemkataza. Ningekurudishia mahari yako.
Afu haka kajukuu kangu kwa kususa nakakubali. Kuwa makini kasije kakasusa kukupa chakula cha usiku na morning glory...
Yuko kwa kidume mwingine mwenzio anakula upepo mwananaHahaha....
Patience kanikimbia sijui huko......wamemfanya nini!!!
Msalimie bibieHapana chief... jf namna ilivyo sasa its not a 'healthy' place! There is too much negativity...
Honestly ananishukuru kwa kumkataza kiingia humu... mimi mwenyewe nilipopumzishwa ile miezi minne ndio nikarealise kuwa "huwezi kuona ubaya wa kitu mpaka ukiwa nje yake". Ndio maana siko active sana siku hizi... naingia kwa kudonoa donoa tu, na siku si nyingi nitawaaga humu ndugu zangu jamaa na marafiki
Zimefika dadaMsalimie bibie
The bold, the cat is out of the bag!!!Zimefika dada