Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

The bold na Nifah!

Mbona kasi hupungua haraka humu, naamini wengi basi mnayahamishia mashamsham nje ya JF hongereni saana asee, muwe mnaleta mirejesho ya ndoa nasi tujikoki humu kuna watoto wazuri.

muwe wapole hizi ni salamu tu

The Bold na Nifah living together now! Nifah nimemkataza kuingia humu... drama nyingi sana humu JF. And that was the best decision ever... she is happier kuliko nimewahi kumuona before
 
Dah, mkuu unamktaza vipi mwenzako kuingia jf? Umemnyima uhuru 200%, she deserves freedom japo unasema ameridhia. I bet she's changed her username.
 
Hajajua tu kuwa binadamu hachungwi/hakatazwi.

0fgjhs6pjr5ttnp3c.ef120b27.jpg

cheating.jpg

Unaweza kukuta bibie anajimwaya na ID nyingine ye anajiaminisha amemkataza LOL
 
Namuunga mkono mimi maana bado siye ndiye Tunaendelea kuwatongoza acha tuwapangie[othrwise kanitongoza]

Kwa hiyo nawe umemnyima Patience123 hata kulike vipost vyetu?
 
Hapana chief... jf namna ilivyo sasa its not a 'healthy' place! There is too much negativity...
Honestly ananishukuru kwa kumkataza kiingia humu... mimi mwenyewe nilipopumzishwa ile miezi minne ndio nikarealise kuwa "huwezi kuona ubaya wa kitu mpaka ukiwa nje yake". Ndio maana siko active sana siku hizi... naingia kwa kudonoa donoa tu, na siku si nyingi nitawaaga humu ndugu zangu jamaa na marafiki
 
Hahaha... mkwe, mjukuu wako hataki kabisa kuwa humu. Unajua matumizi ya jf yana addiction flani hivi. Sasa ukifanikiwa kuvunja hiyo addiction huwezi kutamani kuirudia
 
Ohoo kumbe ueye ndo hataki. Nikadhani wewe ndo umemkataza. Ningekurudishia mahari yako.

Afu haka kajukuu kangu kwa kususa nakakubali. Kuwa makini kasije kakasusa kukupa chakula cha usiku na morning glory...
 
Hapana chief... jf namna ilivyo sasa its not a 'healthy' place! There is too much negativity...
Honestly ananishukuru kwa kumkataza kiingia humu... mimi mwenyewe nilipopumzishwa ile miezi minne ndio nikarealise kuwa "huwezi kuona ubaya wa kitu mpaka ukiwa nje yake". Ndio maana siko active sana siku hizi... naingia kwa kudonoa donoa tu, na siku si nyingi nitawaaga humu ndugu zangu jamaa na marafiki
Ni kweli humu kuna negativity sana, inasikitisha kwanini watu wanakuwa hivi.
 
Hapana chief... jf namna ilivyo sasa its not a 'healthy' place! There is too much negativity...
Honestly ananishukuru kwa kumkataza kiingia humu... mimi mwenyewe nilipopumzishwa ile miezi minne ndio nikarealise kuwa "huwezi kuona ubaya wa kitu mpaka ukiwa nje yake". Ndio maana siko active sana siku hizi... naingia kwa kudonoa donoa tu, na siku si nyingi nitawaaga humu ndugu zangu jamaa na marafiki
Usiage rafiki binadamu huwezi kuwakwepa.
 
Namuunga mkono mimi maana bado siye ndiye Tunaendelea kuwatongoza acha tuwapangie[othrwise kanitongoza]

Kwa hiyo nawe umemnyima Patience123 hata kulike vipost vyetu?
Hahaha....
Patience kanikimbia sijui huko......wamemfanya nini!!!
 
Ohoo kumbe ueye ndo hataki. Nikadhani wewe ndo umemkataza. Ningekurudishia mahari yako.

Afu haka kajukuu kangu kwa kususa nakakubali. Kuwa makini kasije kakasusa kukupa chakula cha usiku na morning glory...
Hahahah doh
 
Hapana chief... jf namna ilivyo sasa its not a 'healthy' place! There is too much negativity...
Honestly ananishukuru kwa kumkataza kiingia humu... mimi mwenyewe nilipopumzishwa ile miezi minne ndio nikarealise kuwa "huwezi kuona ubaya wa kitu mpaka ukiwa nje yake". Ndio maana siko active sana siku hizi... naingia kwa kudonoa donoa tu, na siku si nyingi nitawaaga humu ndugu zangu jamaa na marafiki
Msalimie bibie
 
Back
Top Bottom