Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo nasubiria jibu maana haina haja ya kwenda pm Hapahapa Nataka afunguke amekubali ombi languHapo sawa mnyweshe na supu kabisa.
Tatizo Umesema hajawahi kuita mtu yeyote baby hivyo hakuna kipingamizi mm Nataka nianze kumuita hubby
Mapenzi ya kufikirika?KUNA MAMBO MENGI YA KUFANYA SIO KUWAZA MAPENZI YA KUFIKIRIKA....UMRI UNAKWENDA
Mzee baba Mzigua90 ana mambo yako yale...Mkuu wameshagegedana kwa hiyo hawana tena haja ya kudeka deka!!.....Beira boy bado hajagegedana na Mbite ndiyo maana bado mapenzi yao ni ya moto moto!!
ina maana humtaki tena GuDume?Naanza Leo kumuita leo kumuita Baby hun my heart beat Nokia83
Sio kufunga kuwapa block Block Ubavu wa kufunga mm Sna napenda Kutongozwa jamanLabda pm maana kuna wahudhria pm hadi naskia mnataka kuzifunga.
Gudume kanisalitiina maana humtaki tena GuDume?
nitafutie basteh
Nanii sijamsahau