Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawaona mkuu ngoja nianze harakatiWachuchu kibao humu
Nahisi wakishazoeana na kuwa na mawasiliano nje ya jf huku mizuka inapunguaaHapana, hiyo kawaida itoe au kisa naingia kwa nadra! Ila bado kumepungua
Ni hatarious mzeeHaha, ila waliyataka wenyewe
Hahahahahhaha naona uzeee unakuandama karibu Chama LA vijana umemiss kupetiwa karibu nikupet pet ukumbuke ujananiSasa hv kuna akina demiss kapisi, sijui na wanani vibinti vidogo. Enzi zetu unepetipetiwa kama mme hu
[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]sikuiti unakuwa mchepuko ila nakuita wife na nakusave hivyo kabisa
ila mimi huwa napata wasiwasi kwa mbali, usikute hawa hawa kina Demiss kapisi ndiyo kina nanii..Sasa hv kuna akina demiss kapisi, sijui na wanani vibinti vidogo. Enzi zetu unepetipetiwa kama mme hu
Hahaaaa oky poa tatizo ni kifup sanaKama utamuweza mchukue arifuu sina hiana mie
Unapakwa ww[emoji7] [emoji7]
IdiotBinti acha dharau mi ni mjumbe wa nyumba kumi ujue, serikali imeniamini.
Umekunywa chai?
Mimi ni Behaviourist,kazi yangu ni kuwasoma watu!....Simsomi yeye peke yake ila nawasoma all humankind world wide!!....Kuwa na amani mkuu nipo kazini natakeleza majukumu yangu!!mimi namfanya awe hivyo
halafu mambo ya kumsoma na sayansi zako zife leo mkuu.
Shunie anakusalimia sanaOouh, hapo sawa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wahenga wameamua kuwa vijana na new ID [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ila mimi huwa napata wasiwasi kwa mbali, usikute hawa hawa kina Demiss kapisi ndiyo kina nanii..
Kama wewe ulivyo hapo, kuna mengi saana.