Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Haya mwanafunzi wangu kipenzi Thad umeambiwa unitafutie kopo nianze kula bata hapa[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5]
Fanya haraka maana kesho ni shule ili ujiandae mapema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo Neybright atakupoteza,tangu lini mtu akatafutiwa kopo? Yeye mbona alijichagulia mwenyewe? Pambana na hali yako tu mwl.wangu kipenzi
 
Back
Top Bottom