Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Mbona Couple za JF zimepunguza kasi ni vyuma au mnapambana na hali?

Kwani Yuesiei Bebi Boy yupo wapi skuizi....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Comrade....
Ubu ngoja niishie hapa kabla hawajaanza kuniponda mawe
Kwani ana life ban huyo? Ni ban ya kawaida tu
 
weekend ndiyo hiyo aseeh siku zinayoyoma kamwaka kameshakata kiutani utani tu. Kina Asprin washatoka Moshi tupo nao Town tunachakarika.

Sitaki kuamini vyuma vimekaza hadi couple za humu ndani zimelala zingine zime seaze! mwaka Juzi ilikuwa ukikatisha humu 70% ya maneno ni baby love sweet honey na furaha za kufa mtu. Kulikoni mazee, tunapenda kuwaona tena mjue! Kwa uchache:-

STUNTER tuseme anadownload pesa, sawa mwaka unaisha shemeji jje's kaamua kuwa msomaji.

Shunie na lee empire [ Lyon Lee] siwaoni.
Bailly5 na Madame S sijawasahau

kiwatengu na shansarie tuseme washazeeka sasa je, Saint Ivuga na Inna?

Heaven Sent na Benny labda toka waende vacation hawajarudi je, The bold na Nifah!

Nyani Ngabu na Kasinde ilibaki historia sawa , pia Mentor na Evelyn Salt kama barafu ikaanza kuyeyuka taratibu taratibu. mshana na Angel Nylon sijui tunguli zimemgomea!

Mbona kasi hupungua haraka humu, naamini wengi basi mnayahamishia mashamsham nje ya JF hongereni saana asee, muwe mnaleta mirejesho ya ndoa nasi tujikoki humu kuna watoto wazuri.

Niwapongenze kindakindaki hawa wanne Putin kwa mima na Beira Boy kwa MBITIYAZA pamoja wanakuja kwa kasi saana, naamini watafanya makubwa wenzao tuliyoshindwa kuyafanya.

muwe wapole hizi ni salamu tu
safari hii hautabaki salama ngoja tusubiri na kwa taarifa yako na kodi ya nyumba utalipa
 
safari hii hautabaki salama ngoja tusubiri na kwa taarifa yako na kodi ya nyumba utalipa
mie nazitanguliza hizo kodi bado sipokelewi.. acha wanaopokelewa wazilipe tu..
 
mie nazitanguliza hizo kodi bado sipokelewi.. acha wanaopokelewa wazilipe tu..
tehe..teh....teh.... ngoja waje pm wakutokee tabu hutarudusha feedback kwa mkwal utakaopewa
 
Minamuombea tu wamuachie ili arudi tu aiseeeee...... maana mbona watu tuna haribu sana humu hata kuliko yeye haki....
JF ukipigwa ban ukawaandikia pm ya kuomba msamaha na kukiri kosa wanakusamehe tu labda uwe ulishakiri kutokulirudia kosa na umelirudia.

Siijui Ban naiskia tu...sioni sababu ya kupigwa ban humu.
 
JF ukipigwa ban ukawaandikia pm ya kuomba msamaha na kukiri kosa wanakusamehe tu labda uwe ulishakiri kutokulirudia kosa na umelirudia.

Siijui Ban naiskia tu...sioni sababu ya kupigwa ban humu.
Comrade nakukumbusha tu kwamba lile shambulio lili lenga PERSONAL attack and SEXUAL harassment.
Sasa sijui kama kwa sheria za jf linaombeka msamaha.....
Anyways.......
Kubwa kuliko yote ni tumuombee arudi
 
JF ukipigwa ban ukawaandikia pm ya kuomba msamaha na kukiri kosa wanakusamehe tu labda uwe ulishakiri kutokulirudia kosa na umelirudia.

Siijui Ban naiskia tu...sioni sababu ya kupigwa ban humu.
Nani kapigwa ban
 
Back
Top Bottom