Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
 
Hapo mlimani city pazuri sana unaangalia warembo wee ili baadae ukawapigie nyeto vizuri kabisa
 
mkuu hata tongotongo hazijakutoka unaonajeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
mkuu hata tongotongo hazijakutoka unaonajeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mlimani City hao wana maokoto, maokoto yanasuuza damu ,mwili unanawiri.

Pita na sehemu zingine pia, ujionee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…