Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
I wish nami nifike huko Daslamu hata nikae wiki moja tu...
inshaAllah one day yes.
 
Ebu panda gari kuanzia arusha pita karatu,ingia mbulu, njoo babati pita kondoa ukitoka kondoa njoo kiteto afu utanambia dadeki hawatumii vipodozi
 
Job yrue true...ila sii kweli nisemayo au wee huja experience hilo?
Halaf we mwamba unajitoa ufaham ukute kumbe ni afisa mwenye cheo na familia kabisa,si ajabu mpk wajukuu ukawa nao😂 na km haitoshi ni afisa kutoka lile jengo lililokaa kama mwewe😂
 
Halaf we mwamba unajitoa ufaham ukute kumbe ni afisa mwenye cheo na familia kabisa,si ajabu mpk wajukuu ukawa nao😂 na km haitoshi ni afisa kutoka lile jengo lililokaa kama mwewe😂
litutumbwe upo sahihi mie nina cheo kikubwa sana kwanza hadi PA ninae ila napenda kuonfoa stress za kazi na maisha hapa jf.
Litutumbwe maana yake nini
 
Hata mwezi mwisho siku hizi Kuna watoto wazuri sana, siku nikihamia dar nitawatembezea ukuni sana tu, kama mond.
 
Back
Top Bottom