Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Mbona Dar kila mwanamke mzuri?

Usije tena dar bila kupewa user manual book, ilibidi kwanza upewe utaratibu na maelekezo kwa wazoefu waa jiji we umezamia tuu. Utarudi kusini unalia.
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Hapo bado mbona. ulizia ufike feri magogoni ukutane na vitoto vya ifm na mwalimu nyerere uweke kambi mazima[emoji1787].
 
kama haujui huu ukimwi ndo ulienea kwa staili hii

mababu zako walitoka uko mikoani wakaenda dar

wakawaona warembo km hao uliowaona wew

macho yakashiba wakalala na warembo, kumbe wale warembo tayari wameoza wana virusi

wale mababu wakachukua virusi wakarudi navo mkoa
 
😀 😀 😀 ila wanawake /mademu sijui pisi za mikoani ni mbaya aisee mtoa mada nakuunga mkono kabisa mi mwenyewe ile mara ya kwanza kufika dar nilimwambia mwenyeji wangu mbona huku manzi, totoz nyingi ni nzuri yani kwa mimi wakati huo niliona adi wanafunzi wazuri sana tofaut na mikoani...
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Wapi picha ndugu wa kusini😀
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ila wanawake /mademu sijui pisi za mikoani ni mbaya aisee mtoa mada nakuunga mkono kabisa mi mwenyewe ile mara ya kwanza kufika dar nilimwambia mwenyeji wangu mbona huku manzi, totoz nyingi ni nzuri yani kwa mimi wakati huo niliona adi wanafunzi wazuri sana tofaut na mikoani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
Mkuu kama vile nakuona unavyozungusha shingo kama feni!
 
Mimi najiuliza, kwanini siku hizi Jf kuna nyuzi nyng za kitoto ?
Duuh! Wakuu ndio maana mnang'ang'ania kuishi Dar nimefika kwa mara ya kwanza juzi leo nipo kituoni hapa mlimani city kila mwananmke anayepita mzuri.

Najiuliza watu wa Dar wanawezaje kuishi huu mji maana ni hatari, mpaka dakika hii sijaona mwanamke mbaya wote ni moto wa kuotea mbali.

Haki ya nani na mimi sihami.
, kwan
 
Back
Top Bottom