Mbona Diamond hajapost show ya uwanjani ya Mayote?

Copy1

Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
96
Reaction score
143
Nipo Dar, na when in Rome do as the romans do! Act as Mwanaume wa Dar

et mbona jamaa hajapost picha za show aliyosema atafanya uwanjani Mayote? picha zilizzopo ni za show ya VIP tu ambazo hata hivyo inasemekana watu walikuwa wachache

Je ni kweli kuwa hii show ya uwanjani ilibuma ndo maana jamaa kakauka, na kujifariji anapost vtu vingine vingine na karud kimnyakimnya??
 
Hehe atapost leo, vijana wake watatuma baada ya kuunganisha vipandevipande vya audiance
 
Alisema wenzake hata Rwanda tu hawapost show, he did the same [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani mnamfuatilia huyu jamaa,KUNA TATIZO LA KIUFUNDI LILITOKEA NDIO MAANA HAKUJAWA NA MAPICHA PICHA,LAKINI PINDI TATIZO LIKITATULIWA ZITATUPIWA KAMA KAWA. Na hiyo shoo ni katika shoo ambazo ALIJAZA SANA HAIKUPATA KUTOKEA.
 
Domo alivo na sifa ivo angekuwa ashapost mm cyo hater sema tu labda show ilibuma
 
Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani mnamfuatilia huyu jamaa,KUNA TATIZO LA KIUFUNDI LILITOKEA NDIO MAANA HAKUJAWA NA MAPICHA PICHA,LAKINI PINDI TATIZO LIKITATULIWA ZITATUPIWA KAMA KAWA. Na hiyo shoo ni katika shoo ambazo ALIJAZA SANA HAIKUPATA KUTOKEA.
Hata yeye anafuatiliaga wenzie ndo mana anajua awapost show zao,afadhali wewe umemsaidia kumsemea sababu ila yeye mpk kawasemea sababu za wenzie kutopost show zao ni jinsi gani alivyo karibu kufuatilia wenzie
 
Kwahiyo ni kweli huwa hawaposti ............Kumbe huyu jamaa ni mkweli, bila shaka hata ile ya USHOGA wa yule mtu ni kweli. Hata kuhusu "pete ya kijani" ni kweli.( hapo lazima uje kukana maneno yako)
 
Inawezekana ukafuatilia mambo ya wanaume halafu ukiona hauna unalopata ukajikuta unazusha tu vitu sababu ya chuki lkn asikwambie mtu vijana wa siku izi kwa mama watu wazima hawana mzaha ukijitia domo kubwa watakutag na vitaulo kashikilia kiuno cha mamio hata ney kajitia mdomo kaambiwa akamuulize ex wake na kwa maneno ya dmpoz ile juz jamaa itabidi amchunguze vzuri mama ake ili siku nyingine awe na uhuru wa kuongea in public, pete ya kijani sina jibu nalo coz mm sio mshirikina ila washirikina wanazijua kazi za izo pete ndo mana wameongea kuwashutumu wenzao
 
Hiki ndio kinamuweka jamaa juu!
Usikute na mleta uzi nae ni msanii umejificha na hako ka ID

Inasemekana!!! unaonesha kabisa una jelous
 
Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani mnamfuatilia huyu jamaa,KUNA TATIZO LA KIUFUNDI LILITOKEA NDIO MAANA HAKUJAWA NA MAPICHA PICHA,LAKINI PINDI TATIZO LIKITATULIWA ZITATUPIWA KAMA KAWA. Na hiyo shoo ni katika shoo ambazo ALIJAZA SANA HAIKUPATA KUTOKEA.
Tatizo la kiufundi lilitokea? Kwenye camera Au? Eti Tatizo likitatuliwa picha zitatumwa....? WTF

Give us a break
 
inahitaji mshirikina kumtambua mshirikina mwenzake.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…