Mbona DPP hakukata rufaa dhidi ya hukumu ya Sabaya?

Mbona DPP hakukata rufaa dhidi ya hukumu ya Sabaya?

Ungeyajua yote wayatendayo wenzio sidhani hata kama ungeendelea kuwaona wengine ni marafiki na wandani wako. Sabaya hana kesi, imekwisha hiyo mengine kama yapo nenda kamshitaki wewe ebo!
 
Hii ilikuwa ni one of the major public interest criminal case, of public importance. Umma ulitegemea Jamhuri ikate rufaa.

Sasa kimya as if Sabaya hakutenda hayo matendo maobu. Umma unajua kuwa ALITENDA matendo ya kinyama against human beings, inakuwaje serikali isikate rufaa?

Mwenendo wa kesi hata kwa kijana wa IJA wa certificate ya law hapo Lushoto angeliweza ku sustain / upheld conviction ya magistrate's court.

If that is to be the case, Jamhuri inalea uhalifu.
Itakuwa ile comouter yenye documents iliungua😅
 
Ungeyajua yote wayatendayo wenzio sidhani hata kama ungeendelea kuwaona wengine ni marafiki na wandani wako. Sabaya hana kesi, imekwisha hiyo mengine kama yapo nenda kamshitaki wewe ebo!
Ila cha moto kakipata. Sidhani kama atarudia
 
"Hii ilikuwa ni one of the major public interest criminal case, of public importance."

Kwahiyo wananchi wanaizungumziaje hii kesi huko uraiani?
 
chadema wana roho mbaya kama mkundu wa nguruwe, wao nia yao sabaya afungwe ila mfalme wao mbowe asifungwe kenge hawa
 
Back
Top Bottom