Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Toa hizo code ?Nauliza tu kama amepita kuaga kwenye vituo? Sio LAZIMA Bali ni utamaduni wetu.
Kwa MTU ambaye ametumika na kutumikia ilitakiwa at least atiage na sisi huku!
Anyway kama ameshaenda tunamtakia Kila la kheri. Ubalozi mwema
[emoji23][emoji23]code decodedNani SanSiro au
Hahahaha dahDuuh acha tuone labda atarudi kuaga kaenda kucheki mazingira kwanza.
Mkuu...Nauliza tu kama amepita kuaga kwenye vituo? Sio lazima bali ni utamaduni wetu.
Kwa mtu ambaye ametumika na kutumikia ilitakiwa at least atuage na sisi huku!
Anyway kama ameshaenda tunamtakia kila la kheri. Ubalozi mwema!