Mbona hamasa ya CHAN ni Tanzania peke yake wanafanya vipi uko Kenya na Uganda

Mbona hamasa ya CHAN ni Tanzania peke yake wanafanya vipi uko Kenya na Uganda

Mkuu hata hapa Tanzania pia hamna kitu, kwa kweli inasikitisha sana. kuzorota kwa wakenya na waganda ilikuwa iwe ndio nafasi ya kuionesha Africa kuwa sisi ni waandaaji wazuri, ila pia tumefeli
 
Back
Top Bottom