youngdonats18 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 685 Reaction score 443 Jan 1, 2017 #21 WCB is still the best guys, so kila kupost jf, mambo yote yako hadharan insta, hakuna tukio la wcb likawa siri
WCB is still the best guys, so kila kupost jf, mambo yote yako hadharan insta, hakuna tukio la wcb likawa siri
I isho_boy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2015 Posts 2,145 Reaction score 1,892 Jan 1, 2017 #22 Show ya kiba mombasa tuache utani ni aibu watu wanahesabika kabisa lkn team hata hatunaga gubu huwa tunapotezea tu
Show ya kiba mombasa tuache utani ni aibu watu wanahesabika kabisa lkn team hata hatunaga gubu huwa tunapotezea tu
C cute b JF-Expert Member Joined Aug 14, 2014 Posts 16,878 Reaction score 34,276 Jan 1, 2017 #23 sumbai said: Mama p....kipenzi Badala ya kumpongeza kingkibakuli kwa kutwaa tuzo unafatilia watoto wa WcB??? Kweli WcB balaaa Click to expand... Siku hizi Mimi ni team janja Janja . nimehama team kiba. Nashirikiana na team janja janja wenzangu kuedit picha za show
sumbai said: Mama p....kipenzi Badala ya kumpongeza kingkibakuli kwa kutwaa tuzo unafatilia watoto wa WcB??? Kweli WcB balaaa Click to expand... Siku hizi Mimi ni team janja Janja . nimehama team kiba. Nashirikiana na team janja janja wenzangu kuedit picha za show
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,965 Jan 1, 2017 #24 cute b said: Siku hizi Mimi ni team janja Janja . nimehama team kiba. Nashirikiana na team janja janja wenzangu kuedit picha za show Click to expand... Hivi huko ulikokua mwanzo,mpiga picha wao ni nani ........... Maana huku timu janja janja yupo kifesi na wenzake kama 3.
cute b said: Siku hizi Mimi ni team janja Janja . nimehama team kiba. Nashirikiana na team janja janja wenzangu kuedit picha za show Click to expand... Hivi huko ulikokua mwanzo,mpiga picha wao ni nani ........... Maana huku timu janja janja yupo kifesi na wenzake kama 3.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 19,955 Reaction score 45,207 Jan 2, 2017 #25 cute b said: Siku hizi Mimi ni team janja Janja . nimehama team kiba. Nashirikiana na team janja janja wenzangu kuedit picha za show Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
cute b said: Siku hizi Mimi ni team janja Janja . nimehama team kiba. Nashirikiana na team janja janja wenzangu kuedit picha za show Click to expand... [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]