Mbona hamjatupa mrejesho shoo ya jana dodoma team WCB

Mbona hamjatupa mrejesho shoo ya jana dodoma team WCB

WCB is still the best guys, so kila kupost jf, mambo yote yako hadharan insta, hakuna tukio la wcb likawa siri
 
Show ya kiba mombasa tuache utani ni aibu watu wanahesabika kabisa lkn team hata hatunaga gubu huwa tunapotezea tu
 
Mama p....kipenzi
Badala ya kumpongeza kingkibakuli kwa kutwaa tuzo unafatilia watoto wa WcB??? Kweli WcB balaaa
Siku hizi Mimi ni team janja Janja . nimehama team kiba.
Nashirikiana na team janja janja wenzangu kuedit picha za show
 
Siku hizi Mimi ni team janja Janja . nimehama team kiba.
Nashirikiana na team janja janja wenzangu kuedit picha za show
Hivi huko ulikokua mwanzo,mpiga picha wao ni nani ........... Maana huku timu janja janja yupo kifesi na wenzake kama 3.
 
Siku hizi Mimi ni team janja Janja . nimehama team kiba.
Nashirikiana na team janja janja wenzangu kuedit picha za show
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom