Mbona hamumzunguzii Nungunungu Master?au mnasuburi mpaka achelewe kambini

Mbona hamumzunguzii Nungunungu Master?au mnasuburi mpaka achelewe kambini

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20220102_141844109265.jpg

Mnamsema tu Sakho, Kanute, Onyango na Verane! Tuache choyo ndugu zanguni.

Yupo Jonas Mkude Nungunungu Master anaachia miba kimya kimya. Tumpe heshima yake.

Aliyeanzisha hizi tuzo naye apewe tuzo. Ni motivation kubwa sana kwa wachezaji
 
Nungu nungu mkudeee jamaa namkubaligi sana asipochezagaaa sifurahi kbs mechi hasa kipindi kile lwanga alichukua nafac yk ,

Jana nimemckia kochaa msaidizi aliyeondoka juzi simba akisema alivyoenda simba aliwaita wachezaji mmoja mmoja akaongea nao,alimwambia mkude umri wakuchezaa mpira n mchache sana hvyo achaa mambo unayoyafanya yasiyokuwa na maana wekeza nguvu zako uwanjani,ndipo mkude mnamwona amenyooka now na anaupiga mwingi sanaa
 
Na kwa sasa yuko serious kweli
 
Hakuna kosa kubwa katika maisha kama lile la kuishi kwa mazoea! Yaani unapata kabisa ujasiri wa kuilinganisha Yanga/simba ya msimu huu na ile ya msimu uliopita!

Time will tell.
Ni kweli kabisa mkuu yaani Yanga ya River vs Simba ya Makundi Shirikisho inayoiwakilisha nchi kimataifa
 
Tumuone kwanzamechi za kimataifa kama ataendelea kurusha miba,kule ndo kipimo sahihi.
 
Ule ugonjwa wake aliotakiwa kwenda muhimbili alipona?
 
Back
Top Bottom