OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Na kwa sasa yuko serious kweliNungu nungu mkudeee jamaa namkubaligi sana asipochezagaaa sifurahi kbs mechi hasa kipindi kile lwanga alichukua nafac yk ,
Jana nimemckia kochaa msaidizi aliyeondoka juzi simba akisema alivyoenda simba aliwaita wachezaji mmoja mmoja akaongea nao,alimwambia mkude umri wakuchezaa mpira n mchache sana hvyo achaa mambo unayoyafanya yasiyokuwa na maana wekeza nguvu zako uwanjani,ndipo mkude mnamwona amenyooka now na anaupiga mwingi sanaa
Itakuwa kapunguza bangii cku hz havuti mchana tenaa ,n ucku tu tenaa kete mojaa tu na amepunguzaa tungiNa kwa sasa yuko serious kweli
yamekuwa hayo tenaKumbe ni Hendisamu
Hakuna kosa kubwa katika maisha kama lile la kuishi kwa mazoea! Yaani unapata kabisa ujasiri wa kuilinganisha Yanga/simba ya msimu huu na ile ya msimu uliopita!Tunakumbushana tu sio Kwa Nia mbayaView attachment 2066052
Ni kweli kabisa mkuu yaani Yanga ya River vs Simba ya Makundi Shirikisho inayoiwakilisha nchi kimataifaHakuna kosa kubwa katika maisha kama lile la kuishi kwa mazoea! Yaani unapata kabisa ujasiri wa kuilinganisha Yanga/simba ya msimu huu na ile ya msimu uliopita!
Time will tell.