Mbona hamuulizi mkoa wenye wanaume wazuri zaidi!!??

Mie sijaelewa uzuri unaozungumzia ni mwanamume mzuri kwa kuishi naye kama Mume au? manake uzuri una maana nyingi kwa hiyo be specific ni uzuri gani hasa!
 
wahaya wamepanda hewani,sura nzuri na zile lafudhi zao za english ndio kabisaaa lol
 



u got no brain head n colonial era mind.....
 
shantel mimi msukuma lol unasemaje?

halafu we unaonekana mashine ndogo hupendi kabisa...

na hiyo blue lagoon,umewahi tazama filam yake?

Mmejaliwa wanaume wakisukuma halafu umeona kuna mtu kaona donge sana nilivosifia yaan watu wengine bwana wanapenda wasifiwe wao tu, au nimemuelewa vibaya?blue lagoon ni movie nayoipenda sana sanasana huwa narudia kuiangalia siku yeyote nayoipata, siichoki kabisa, ndio napenda
 
Waluguru!...mi ni mluguru mix with meru na mademu huku mtoni wananizimia saanaa! sio mashine tuu!! ulimi nao unalipa!(hint)
 
jamani hivi ni kweli wanaume wa kisukuma wana miguu ya watoto pale maeneo?:embarassed2::lol:
 
Kuna mdada alitaniwa kuwa anaitwa pale askari monument posta ,akawajibu hapo kuna msukuma au mhaya? Maana waliobaki wanaiga! Watu walicheka sana,sasa nkifika hapa nkaona mada hii,namkumbuka mwanadada yule.
 
sura/masharobaro au mnamaanisha nini? Mashoga wapaka poda? Wenye pesa ,, wasomi , wachapa kazi, wakulima( wasukuma) or wapiga gahawa ? Au wala tigo?

Hata mie najiuliza hapa hapa,
Uzuri kwa maana ipi?
 
cc wa2 wa Pwani madume handsome kuliko wengine popote pale ndani ya Tz
 

Mbona hata wewe hujaweka vidhibiti! mi mbona siko hivyo unavyo tangaza na ni Msukuma! au Mama yangu alizaa nje ya ndo? hizo sifa zote sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…