Mbona Harmonize ana kiki za kizamani sana?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Harmonize mwanamuziki mwenye uwezo na bidii. Sina uhakika kama anajielewa au hata ana meneja mzuri. Au huenda anayo menejimenti nzuri ila ye ni kichwa ngumu!

Nimeshangaa kuwa anataka kutoa album mpya tayari amepost picha eti yenye utata, ila mi sioni utata wa hiyo picha, na hasa kwa msanii kama yeye tayari social media zimeanza kuisambaza na eti kwamba yuko kwenye penzi jipya.

Hivi kwa msanii kama huyo kuwa na wapenzi hata 100 wazuri na wenye tamaa si inawezekana tu ndani ya siku 100?

Nini cha ajabu na kwa nini wewe harmonize utafute kiki wakati una uwezo na unaweza kuhit tu bila huo ujinga wengine wanaita ushamba?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Umetumwa?
 
Hajamuona baba ake alivyotoka kukichafua hii majuzi hapa "RAMADA" Acha aendelee na kiki za kishamba
 
Huoni kama amefanikiwa.. maana hadi umemuanzishia uzi.
 
Dogo apewe sifa zake anajua kutunga na kuimba
 
Hizo kiki ndio zimekufanya umeleta uzi hapa,kwahiyo harmonise anathinitisha njia zake zinafaa. Wimbo mpya mkali sana,mkali mno...video ina hisia mno.
 
Tayari Harmonize alishaimba wimbo unaoitwa " MY WAY"
Huo wimbo una majibu sahihi kwa mtoa mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…