Harmonize mwanamuziki mwenye uwezo na bidii. Sina uhakika kama anajielewa au hata ana meneja mzuri. Au huenda anayo menejimenti nzuri ila ye ni kichwa ngumu!
Nimeshangaa kuwa anataka kutoa album mpya tayari amepost picha eti yenye utata, ila mi sioni utata wa hiyo picha, na hasa kwa msanii kama yeye tayari social media zimeanza kuisambaza na eti kwamba yuko kwenye penzi jipya.
Hivi kwa msanii kama huyo kuwa na wapenzi hata 100 wazuri na wenye tamaa si inawezekana tu ndani ya siku 100?
Nini cha ajabu na kwa nini wewe harmonize utafute kiki wakati una uwezo na unaweza kuhit tu bila huo ujinga wengine wanaita ushamba?
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app