Mbona hawa Askari wanatamba nchi nzima?

Wale wasiojulikana enzi za Magufuli walioua ndugu zetu na kuwafunga kwenye viroba Kisha kuwatupa baharin, misituni na wengine mpaka leo familia zao hawajui walipo mfano Ben Saanane, Azory Gwanda nk.
 
Hao wapo kwenye Task force ya taifa ya kupambana na ugaidi, ni bora ukutane na simba kuliko hawa mabwana
 
Ili uwafanyie ugaidi ama?
Nenda Polisi ukapige picha zao.
 
Hayo ni mambo ya ndani ya utendaji wa PT.

Hayahitaji mjadala wa kisiasa!
Ndiyo wenye nchi wanataka kujua hiyo logic ya kumtuma askari from Dar kwenda Arusha, Moshi, Tabora nk kufanya kazi huko wakati huko kuna askari pia?

Kumbuka ili waende huko kuna rasilimali fedha zinateketea ambazo zingeweza kusaidia kuweka mifumo ya kidijitali kwenye kila kituo cha polisi ili kuboresha mfumo mzima wa kupokea wahalifu wanapoingia vituoni.
 
Hao ni Mashujaa, yaani Polisi ukisikia mtu anaitwa shujaa jua huyo ni katili aliye tayari kuumiza/kuua bila kujali utu.
Kuna shujaa aliyeshinda Adolf Hitler mkuu?? Mwisho wake ulikuwaje?? Tunaye leo?? Ana legacy gani kaacha??
 
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile...mkiwaona muwapige mawe
 
Let us ask MO, Roma na kule Kilwa/Lindi (kwa Azory) kama wanaweza kuwatambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…