Mbona hawa majamaa hawajahama JF?

Mbona hawa majamaa hawajahama JF?

Why don't you stop posting halafu uone kama tutashughulika? Maisha itaendelea kama kawaida. Hata hatutajua eti umeenda
Geuza is the only guy who thinks it's an achievement when people respond to his posts and comment on his threads. In his head, people don't comment on other people's threads except his. People don't respond to other people's posts except his. I can blame him though, I would reason similarly if the only thing going on in my life was JF.😂😂😂😂😂
 
Hahaha. Actually you are right. The only good thing going on in his life is JF
 
Watu wa Indonesia wakikusikia unaleta utani kwenye misiba ya ndugu zao hawatakuelewa.

Kuna Mtanzania kwenye uzi mwengine alinijibu kwamba, kama ilivyo sisi tunashobokea dini za wazungu, nyie mumedumisha uchawi maana ndio dini yenu.
 
Msiba hauna dini, hata wanyama wa porini wanaomboleza mwenzao akiwatoka.
 
Mbona mlikua mnawakamata viongozi wa upinzani wakienda kutoa rambirambi zao kwa wahanga wa tetemeko la ardhi, hehehe mnavyojigeuzaga kwa unafiki.
 
Kama kuna kiongozi amekatwa Tanzania kwa kutoa rambirambi, muweke wazi hapa.

Naona siku hizi imekuwa bingwa wa kujikwaa, acha nikuache ujikaange kwa mafuta yako mwenye.
 
Ukiwa na pool of Kunyans that can't let a day pass before they check what I have posted! What do u expect?
We love you geza, we just don't want to see you shoot yourself in the foot time and again.
 
Back
Top Bottom