NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
- Thread starter
-
- #41
Geuza is the only guy who thinks it's an achievement when people respond to his posts and comment on his threads. In his head, people don't comment on other people's threads except his. People don't respond to other people's posts except his. I can blame him though, I would reason similarly if the only thing going on in my life was JF.πππππWhy don't you stop posting halafu uone kama tutashughulika? Maisha itaendelea kama kawaida. Hata hatutajua eti umeenda
Hahaha. Actually you are right. The only good thing going on in his life is JFGeuza is the only guy who thinks it's an achievement when people respond to his posts and comment on his threads. In his head, people don't comment on other people's threads except his. People don't respond to other people's posts except his. I can blame him though, I would reason similarly if the only thing going on in my life was JF.πππππ
Nipatie hiyo proof. πππKuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
game over
N.k
Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
Chadema also known as nyumbu, ndio afadhali? PoleAfadhali Chadema mara mia moja.
Watu wa Indonesia wakikusikia unaleta utani kwenye misiba ya ndugu zao hawatakuelewa.Jamaa wamekesha kwa matambiko, duh isije kuwa urogi wao umekosa njia na kuikuta ndege ya Indonesia ambayo imepiga chini na abiria wote usiku wa kuamkia leo....
Lion Air Plane With 189 People Crashes in Indonesia
Kuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
game over
N.k
Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
Watu wa Indonesia wakikusikia unaleta utani kwenye misiba ya ndugu zao hawatakuelewa.
Hao ni makada wa CCM kwa kifupi ni empty brain usitarajie kipya kutoka kwaoKuna baadhi ya watu humu waliosema watahama JF KQ ikitua Marekani Karne hii. Kwa majina ndio hao
Geza Ulole
Mwanzi1
Barbarosa
joto la jiwe
Annael
mulisaaa
kadoda11
game over
N.k
Sasa hivi KQ inatua Marekani. Nangoja hawa watu wasivunje ahadi.
πππHao ni makada wa CCM kwa kifupi ni empty brain usitarajie kipya kutoka kwao
Msiba hauna dini, hata wanyama wa porini wanaomboleza mwenzao akiwatoka.Kuna Mtanzania kwenye uzi mwengine alinijibu kwamba, kama ilivyo sisi tunashobokea dini za wazungu, nyie mumedumisha uchawi maana ndio dini yenu.
Msiba hauna dini, hata wanyama wa porini wanaomboleza mwenzao akiwatoka.
Kama kuna kiongozi amekatwa Tanzania kwa kutoa rambirambi, muweke wazi hapa.Mbona mlikua mnawakamata viongozi wa upinzani wakienda kutoa rambirambi zao kwa wahanga wa tetemeko la ardhi, hehehe mnavyojigeuzaga kwa unafiki.
Ukishikwa makende unasema ni childish. Ukiiponda KQ hukua unaona kama ni utoto?Childish thread.
We love you geza, we just don't want to see you shoot yourself in the foot time and again.Ukiwa na pool of Kunyans that can't let a day pass before they check what I have posted! What do u expect?