DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Huo ugomvi na underground mkongwe hautaisha leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan mtu cjui katumia vgezo gani au kwa sabab undergrnd wao hayupo asubiri tareh 22 atuletee mrejeshoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale Vanessa anapokuwa juu,kuliko kiba,lazima akili kama hizi utakutana nazo tu.Kuna show kubwa sana tar 22 mwezi huu pale leaders club, pamoja na kuwa inahusika na wasanii heavy weight kama future kutoka USA, Casper nyoves kutoka SA na diamond kutoka bongo lakini naona kama haijakiki sana yaani kama show zingne kubwa ambazo huwa talk of the town, tatzo nn haswa watu hawana hela au promotion imekuwa chini ya kiwango au tatzo ni kwa wasanii husika ambao watalipamba jukwaa hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo underground mkuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan mtu cjui katumia vgezo gani au kwa sabab undergrnd wao hayupo asubiri tareh 22 atuletee mrejeshoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetumia kigezo kipi kuja na hilo hitimisho lako?Halafu waandaaji wajanja wamechagua wasanii wa bongo wa kimataifa zaidi , kubali kataa Vanessa kwasasa ana kiki nje ya nchi zaidi ya Alikiba
Underground mkongwe ndo naniHuo ugomvi na underground mkongwe hautaisha leo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
Kiba kajaje hapa mkuu?Pale Vanessa anapokuwa juu,kuliko kiba,lazima akili kama hizi utakutana nazo tu.
Future simjui kabisa na nimemskia to juzi kupitia album yake mpya kwenye sehemu aliko mwongelea ila sura na nyimbo hata sijui zinafananajeKuna show kubwa sana tar 22 mwezi huu pale leaders club, pamoja na kuwa inahusika na wasanii heavy weight kama future kutoka USA, Casper nyoves kutoka SA na diamond kutoka bongo lakini naona kama haijakiki sana yaani kama show zingne kubwa ambazo huwa talk of the town, tatzo nn haswa watu hawana hela au promotion imekuwa chini ya kiwango au tatzo ni kwa wasanii husika ambao watalipamba jukwaa hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko wapi ??
Kwanini hausiki na shoo,ina maana yeye si msanii wa kimataifa ??
Yupo ulaya anafanya show za maanaKwanini hausiki na shoo,ina maana yeye si msanii wa kimataifa ??
Na kweli anafanya "shoo za maana"
Jina lake ni classified
Show imebuma kabla hahahaaaLol.... subiri mrejesho usiseme hakuna hela sema sina hela.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Ishabuma iyoMkuu show ipo na itabamba, uwe na bundle la kutosha kuchungulia kitakachokua kinaendelea kupitia insta live[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app