Mbona hii show ya Castle Lite unlock 'haijakiki'?

Mbona hii show ya Castle Lite unlock 'haijakiki'?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yan mtu cjui katumia vgezo gani au kwa sabab undergrnd wao hayupo asubiri tareh 22 atuletee mrejeshoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ugomvi na underground mkongwe hautaisha leo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Kuna show kubwa sana tar 22 mwezi huu pale leaders club, pamoja na kuwa inahusika na wasanii heavy weight kama future kutoka USA, Casper nyoves kutoka SA na diamond kutoka bongo lakini naona kama haijakiki sana yaani kama show zingne kubwa ambazo huwa talk of the town, tatzo nn haswa watu hawana hela au promotion imekuwa chini ya kiwango au tatzo ni kwa wasanii husika ambao watalipamba jukwaa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale Vanessa anapokuwa juu,kuliko kiba,lazima akili kama hizi utakutana nazo tu.
 
Kila mtu apambane na hali yake bana, wait 22
 
Kuna show kubwa sana tar 22 mwezi huu pale leaders club, pamoja na kuwa inahusika na wasanii heavy weight kama future kutoka USA, Casper nyoves kutoka SA na diamond kutoka bongo lakini naona kama haijakiki sana yaani kama show zingne kubwa ambazo huwa talk of the town, tatzo nn haswa watu hawana hela au promotion imekuwa chini ya kiwango au tatzo ni kwa wasanii husika ambao watalipamba jukwaa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Future simjui kabisa na nimemskia to juzi kupitia album yake mpya kwenye sehemu aliko mwongelea ila sura na nyimbo hata sijui zinafananaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol.... subiri mrejesho usiseme hakuna hela sema sina hela.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom