Mbona hii show ya Castle Lite unlock 'haijakiki'?

Hii show Tatizo lake moja.
future hana shobo kama wasanii wengine, sijui ndio kujiskia
huyo Casper nyovest ndio ptuuuuuuuuu!!!!

halafu pamoja na hayo nyimbo zao mimi binafsi kiukweli sizijui[emoji23][emoji23] afu siwafagilii kiiivo.
kwahiyo ikitokea kuna watu dizaini yangu lazima pasikiki.

ukitaka show ikiki ,lazima ipate full support kwa social media
future labda angekuja akapiga picha na wema au diamond au malaya yoyote wa bongo mambo yote yangekua[emoji95] [emoji91]

lakini kaja kama hajaja, huyo nyovest sidhani kama ana mashabiki kiiivo bongo. bora hata mafikizolo.

wangedondosha usher raymond SA labda Mafikizolo Naija labda wizkid au Davido..
wakaja hapa mishow off kibao.. weeh tusingekaa

wabongo tumelelewa katika show off[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani diamond hakuwepo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…