McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Haahaa...kirikuu ni ipi mkuu!??
Safari ndogo zile mkuu,nikiwa sina sarafu navionaga vitamu sanaaa ila mfuko ukiwa njema eti naona vichungu hapo ndipo nnapo amini pesa inaleta unafiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahaa...kirikuu ni ipi mkuu!??
Hahaahhaaa...Safari ndogo zile mkuu,nikiwa sina sarafu navionaga vitamu sanaaa ila mfuko ukiwa njema eti naona vichungu hapo ndipo nnapo amini pesa inaleta unafiki.
Kwani diamond hakuwepo???Hii show Tatizo lake moja.
future hana shobo kama wasanii wengine, sijui ndio kujiskia
huyo Casper nyovest ndio ptuuuuuuuuu!!!!
halafu pamoja na hayo nyimbo zao mimi binafsi kiukweli sizijui[emoji23][emoji23] afu siwafagilii kiiivo.
kwahiyo ikitokea kuna watu dizaini yangu lazima pasikiki.
ukitaka show ikiki ,lazima ipate full support kwa social media
future labda angekuja akapiga picha na wema au diamond au malaya yoyote wa bongo mambo yote yangekua[emoji95] [emoji91]
lakini kaja kama hajaja, huyo nyovest sidhani kama ana mashabiki kiiivo bongo. bora hata mafikizolo.
wangedondosha usher raymond SA labda Mafikizolo Naija labda wizkid au Davido..
wakaja hapa mishow off kibao.. weeh tusingekaa
wabongo tumelelewa katika show off[emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app