Mbona hizi dini zinachanganya?

Mkuu ushawahi pitia course ya "World religions through their scripture" ya havard?
 
Mwisho wa yote ni kifo mkuu.
Ujizuie, usijizuie, mwisho wa yote ni kifo.
Hili mbona liko wazi mkuu.

Tatizo hicho kinachotoa idhini ya sababu za kifo changu ndiyo kinanipa wasiwasi ukichukulia zaidi ya kuambiwa kipo na walionitangulia (miaka maelfu yaliyopita)hakuna aliyerudi kusema kipo au hakipo,as long yalisemwa lazima kipo!
 
People's heads were better opened and tightened
 
Attachments

  • Kikazio.jpg
    45.9 KB · Views: 2
Hujajibu swali langu, umejitungia lako mwenyewe ukajibu unalotaka.
Nmejibu hivyo Kwa sababu nmeelewa mantiki yako, kwamba unaona kama vile Mungu kuna mahala amefeli, Sasa na Mimi ndio nmekujibu kua hata kama unaona Kuna sehem labda imelegalega je huoni tu kwamba bado amefanya Kazi kubwa ku create ulimwengu
 
Nampongeza Papa kwa kukosa jibu, hapa angesema freewill ingekua mtifuano
Papa anajua freewill is an illussion.

Una freewill gani kama huna hata uchaguzi wa kuamua kuzaliwa na wazazi masikini au tajiri?
 
Mkuu ushawahi pitia course ya "World religions through their scripture" ya havard?
Hapana, ila nimesoma "The Norton Anthology of World Religions" na hata hiki kitabu "How To Read The Bible : A Guide To Scripture Then And Now" ni cha Emeritus Professor wa Harvard James Kugel.
 
Nmejibu hivyo Kwa sababu nmeelewa mantiki yako, kwamba unaona kama vile Mungu kuna mahala amefeli, Sasa na Mimi ndio nmekujibu kua hata kama unaona Kuna sehem labda imelegalega je huoni tu kwamba bado amefanya Kazi kubwa ku create ulimwengu
Kwanza kabisa hoja yangu si Mungu kuna mahala kafeli, hujaelewa hoja yangu.

Hoja yangu ni kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo, huyu tunayeelezwa katungwa na watu tu.

Angekuwapo, uumbaji wake usingekuwa na mapungufu yoyote.
 
Papa anajua freewill is an illussion.

Una freewill gani kama huna hata uchaguzi wa kuamua kuzaliwa na wazazi masikini au tajiri?
Freewill concept haiji kabisa

Hapana, ila nimesoma "The Norton Anthology of World Religions" na hata hiki kitabu "How To Read Tge Bible : A Guide To Scripture Then And Now" ni cha Emeritus Professor wa Harvard James Kugel.
Sawa mkuu
 
Douhhh🙄🙄 Kweli jambo usilolijua ni Sawa na usiku wa Giza. Bwana kiranga, hili andiko linafunua UCHI ambao umekuwa ukifichwa sana.
Sasa ndiyo naelewa kwa nini Biblia ya wa protestant, ya wakatoliki wa Roma, wakatoliki wa Orthodox na Wacoptic wa Alexandria Zina idadi tofauti ya vitabu.
Ulivyo solid wa kubisha... Nilikuwaga sikuelewi
 
Mapungufu yapi hayo ambayo wewe unayaona na uwezo wake wote upi huo ambao unauona ??? Umeshawahi kuona uwezo wote wa Mungu,?
 
Tutaelewana tu.

Haya mambo wenzetu wanayasomea mpaka vyuo vikuu, mapadre ma makasisi wanayajua, wasomi wa dini wanayajua.

Ni vile tu watu wetu wengi wapo kwenye giza bado.
 
Tutaelewana tu.

Haya mambo wenzetu wanayasomea mpaka vyuo vikuu, mapadre ma makasisi wanayajua, wasomi wa dini wanayajua.

Ni vile tu watu wetu wengi wapo kwenye giza bado.
Sawa vitabu vinaweza vikawa ni vya kutungwa lakini , haiondoi uwepo wa Mungu
 
Mapungufu yapi hayo ambayo wewe unayaona na uwezo wake wote upi huo ambao unauona ??? Umeshawahi kuona uwezo wote wa Mungu,?
Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo mkuu.

Angekuwepo, kila mtu angejua yupo kwa namna ambayo hata mjadala huu usingeweza kufanyika.

Ukishaona watu wanabishana kuhusu uwepo wa Mungu, ukishaona watu wanapigana vita vya kidini mpaka wanauana mamilioni kwa mamilioni, ujue Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao watu wanaweza kuuana hivyo kwa kutomjua yeye.

Angejiweka wazi kila mtu amjue kusiwe na mzozo wa vita wala thread ya JF ya kujadiliana uwepo wake.

Ushawahi kusoma kitu kinaitwa Epicurean Paradox kabla ya leo?
 
PAPA Francis anapigania maisha huko ICU yaani hataki kwenda mbinguni [emoji1787]

Izi DINI sometime zinachanganya sana sasa papa hataki kwenda mbinguni nani anataka? kama papa hataki?...

Kwaresma NJEMA.
Umeanza vizuri kwa Kwaresma hii! Kesho uje na tafakuri nyingine tena!😄😄
 
Naungana na team Kiranga hapa... Unaposema hiyo Luka 23:27 huwezi kuielewa Hadi uwe mtaalamu wa philosophy, mlengwa alikuwa ni nani? Kama hiyo Injili ni kwa watu wote, kwa nini kuwe na Codes nyingi ili uielewe? Then,... Is bible real?
 
Sawa vitabu vinaweza vikawa ni vya kutungwa lakini , haiondoi uwepo wa Mungu
Mimi sipingi uwepo wa Mungu kwa sababu ya vitabu.

Kimantiki, ulimwengu unaoruhusu mabaya unakanusha uwepo wa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Ulimwengu huo uko mitually exclusive na uwepo wa Mungu huyo?

Ukielewa katika logic/math mutual wxclusivity ni nini, utaelewa ni scenario ambayo mambo mawiki au zaidi hayawezi kutokea kwa pamoja, unakuwa na ama moja, ama lingine.

Sasa,ulimwengu unaoruhusu mabaya unaweza kuwepo tu kama Mungu huyo hayupo.

Kwa sababu Mungu huyo kwa ujuzi wake wote, uwezo wake wote na uoendo wake wote, tabia zake hizi zinamfanya asiumbe ulimwengu unaoruhusu mabaya.

Na Mungu huyo anaweza kuwa yupo tu kama ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo. Ulimwengu unaoruhusu mabaya kuwapo unaonesha Mungu huyo hayupo, angekuwapo asingeruhusu ulimwengu unaoruhusu mabaya uwepo.

Tunaona ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
 
PAPA Francis anapigania maisha huko ICU yaani hataki kwenda mbinguni [emoji1787]

Izi DINI sometime zinachanganya sana sasa papa hataki kwenda mbinguni nani anataka? kama papa hataki?...

Kwaresma NJEMA.
Hahahahaha lakini kweli hii ni hoja Fikirishi sana
 
N
PAPA Francis anapigania maisha huko ICU yaani hataki kwenda mbinguni [emoji1787]

Izi DINI sometime zinachanganya sana sasa papa hataki kwenda mbinguni nani anataka? kama papa hataki?...

Kwaresma NJEMA
Nim3cheka sanaa
 
Sijawahi kutumia internet ya bando mkuu. Labda nikija likizo Tanzania ambako nako nina option ya mitandao ya Kimarekani.

Mimi natumia unlimited internet. Halafu nina unlimited internet nyingine ya WiFi.

Bando hata mnavyoweka sijui.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…