Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunajizuia kufa kwa mambo mengi tu, sio kwa kutibiwa ugonjwa tu! Tuna kula chakula salama ili tusife, tunakunywa maji ili tusife, tunaishi mahala palipo jikinga na salama ili tusife, tuna vuka barabara kwa ungalifu ili tusife. Kuua ni dhambi hata kama utajiua mwenyewe.PAPA Francis anapigania maisha huko ICU yaani hataki kwenda mbinguni [emoji1787]
Izi DINI sometime zinachanganya sana sasa papa hataki kwenda mbinguni nani anataka? kama papa hataki?...
Kwaresma NJEMA.
Jikite kwa Papa bikra zipo tuBc tuseme na Waislamu nao wafe ili wakabandue vile bikra
Mkuu,tunajizuia kufa kwa mambo mengi tu, sio kwa kutibiwa ugonjwa tu! Tuna kula chakula salama ili tusife, tunakunywa maji ili tusife, tunaishi mahala palipo jikinga na salama ili tusife, tuna vuka barabara kwa ungalifu ili tusife. Kuua ni dhambi hata kama utajiua mwenyewe.
Bc kifo pia kipo kwa kila mtu.Jikite kwa Papa bikra zipo tu
Sijawahi kutumia internet ya bando mkuu. Labda nikija likizo Tanzania ambako nako nina option ya mitandao ya Kimarekani.Kiranga hata Kama hana bando yupo tayari kukopa ili achangie mada ya kupinga uwepo wa Mungu
Mtoa mada umemuelewa kweli?Bc kifo pia kipo kwa kila mtu.
HapanaMtoa mada umemuelewa kweli?
Msome tena hakuna mashindano hapaHapana
Kwa hiyo tuseme Kuna miungu siyo?Hebu tutumie mantiki kidogo, kwa kuwa dini ni nyingi na Mungu ni wengi. Mungu mmoja hangeruhusu dini nyingi. Na kama ni mmoja basi hana uwezo kamili.
Umeeleza vyema sanajambo la kwanza ni kupigania UHAI WAKO KWA GHARAMA YOYOTE
jambo la pili kuipigania AFYA yako kwa namna yoyote ile
jambo la tatu kuliangaikia tumbo lako
hvyo ndivyo kila binadamua anatakiwa afany kila siku bila kujari kam utaenda peponi au motoni
ukidhulumu uhai wako(kujiua) ni dhambi na unaenda motoni
ukilifanyia ubahili tumbo lako na afya yako ni dhambi pia
wewe hapa duniani pambana tu iwe jua uwe mvua pambana mpk tone la mwisho
kufa utakufa tu huwezi kukimbia KIFO
ukitaka uishi maisha marefu yasiyo na shaka yaani uenjoy hapa duniani usiogope KIFO wewe yaogope matendo yako au yafurahie matendo yako hakika hautaofia kifo 7bu unajua una deni kwa muumba wako
enjoy kila dakika katika maisha yako Uumbaji haujirudii hakuna FELAKUTI mwingine na hatotokea tena hata wa kufanana nae pale NIGERIA imebaki LEGANCY yake kula maisha mwanangu
ila kumbuka SWALA NA KAZI mfungo kama hij wa ramadhani au kwa resima funga kujenga AFYA na kupuunguza dhambi
Nimeisoma hiyo makala.Wale wote wanaosema Kiranga anapenda sana hizi mada oneni sasa, Kiranga anaitwa sana kuchangia hizi mada.
Kwa sababu watu wengi wanapenda kusikia mawazo ya Kiranga kuhusu hizi mada.
Kuhusu dini kuchanganya watu.
Dini lazima zikuchanganye.
Kwa sababu zimejengwa katika misingi ya uongo.
Hao mapapa wamesoma falsafa na theolojia wengi wao kiukweli ni ma atheist ila wanajifanya wanaamini Mungu kwa sababu wanaona hiyo ndiyo njia ya ku control watu tu.
Ni vigumu sana kusoma falsafa na theology ukafika level ya kuwa Cardinal au Papa bila ya kujua mambo kama the problem of evil na kuwa na uelewa kuwa hizi dini ni kabobo tu.
Papa Francis aloulizwa swali la the problemnof evil na kasichana kadogo hapo Manila, kaliuliza kwa nini watoto wadogo wanaishia kujiuza kwa natatizo wakati kuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote?
Papa alishindwa kujibu na akaishia kulipiga danadana za kisiasa tu swali hilo.
![]()
What Pope Francis learned from homeless girl: 'Cry with the suffering!'
Pope Francis praised Filipino former homeless girl Glyzelle Palomar for asking why God allows children to suffer, saying her tearful question show that Christians must “learn how to weep.”www.catholicnewsagency.com
Umesoma link ya CNN au hiyo ya Wakatoliki?Nimeisoma hiyo makala.
Nimelipenda jibu la Papa Francis.
Ma-genius ndiyo watalielewa vizuri hilo.
Mimi naona ni jibu,tena ni jibu zuri.Hilo si jibu.
Hizo ni danadana za kisiasa tu.
Kwa nini?Mimi naona ni jibu,tena ni jibu zuri.