I usually think of these things critically...and surprisingly they are actually gathered everywhere to pray for him not to die, Leader of CatholiciansThey say that heaven is a beautiful place but no one wants to die.
Everyone is praying for long life on Earth..[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23] it's funny but I don't think they can understand you ..Mungu hayupo mkuu.
Angekuwapo watu wasingeijua internet ya bando ikoje.
Kila mtu angekuwa anagonga unlimited ya kampuni ya simu na unlimited ya WiFi kama mimi tu.
Kama yupo, kwa nini anipendelee mimi nisiyemuamini halafu wanaomuamini wengine wawe wananuka umasikini hata bando wapate kwa manati na wengine wana viswaswadu vimepasukapasuka vioo ni hatari kwa afya zao lakini wanadunda navyo tu?
Ushaona eeh?[emoji23][emoji23][emoji23] it's funny but I don't think they can understand you ..
Sent from my Infinix X6532C using JamiiForums mobile app
Master kabisaSijawahi kutumia internet ya bando mkuu. Labda nikija likizo Tanzania ambako nako nina option ya mitandao ya Kimarekani.
Mimi natumia unlimited internet. Halafu nina unlimited internet nyingine ya WiFi.
Bando hata mnavyoweka sijui.
Papa amemchungulia malkia hajamuonaPAPA Francis anapigania maisha huko ICU yaani hataki kwenda mbinguni [emoji1787]
Izi DINI sometime zinachanganya sana sasa papa hataki kwenda mbinguni nani anataka? kama papa hataki?...
Kwaresma NJEMA.