Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si unaona wakenya wanailaumu serikali yao? Wakenya ni wapuuzi sana hakuna haja ya kuwaonea muhali.Kama ni Kenya ina makosa basi serikali ya Kenya ijirekebishe. Biashara lazima iendelee, covid 19 isilete chuki baina ya nchi hizi mbili.
Huo ndo ukweli..hakutakuwa na mbabe kwenye Holi suala zaidi ya kuumiza raia wa kawaida.Kama ni Kenya ina makosa basi serikali ya Kenya ijirekebishe. Biashara lazima iendelee, covid 19 isilete chuki baina ya nchi hizi mbili.
Wameongea ukweli..hizi go return go return kwa vitu vya kijinga inacost na kuudhi sanaHahaha na mtataga boga
Naona clearing agents wa Kenya ndio wamepata kichaa kwa kuiropokea serikali yao ndio ya hovyo kwa kuchochea migogoro ya kipimbi
Yaani kwenye hizi quarrels za mipakani all times wakenya ndio hulia na kuonekana kuathirika zaidi, mtajua hamjui and this time hatupokei hata simu ya uhuru aje kwa magoti mpaka kwa DC wa Longido
Hakuna ku-test kwa pamoja hiyo ni bureaucracy!Kama ni Kenya ina makosa basi serikali ya Kenya ijirekebishe. Biashara lazima iendelee, covid 19 isilete chuki baina ya nchi hizi mbili.
Kenya mnagombana na majirani zenu wetu , lazima mjirekebishe vinginevyo mtaendelea kulalamika kila siku, ninyi sio watu wazuri, kama mlishindwa kuelewana na Nyerere na Kikwete ambao walikua ni watu wapole wasiolipiza kisasi, kamwe hamtowezana na Magufuli.Kama ni Kenya ina makosa basi serikali ya Kenya ijirekebishe. Biashara lazima iendelee, covid 19 isilete chuki baina ya nchi hizi mbili.
Na ndio maana wanalazimisha kupima mpakani mfumo wa kutumia vyeti watakosa rushwa ,hii inaonesha jinsi gani Kenya haina serikali ingekuwa Tz hao jamaa wa mpakani saa hizi hawana kazi wote.Kwahiyo hapo mpakani namanga kinachokupitisha kuingia Kenya ni hela yako siyo majibu ya testing ya Corona. Wakenya punguzeni rushwa mtauwa wenzenu kwa tamaa .
Vipi kuhusu Kenya na Uganda, au Kenya na Somalia?. Kenya ni nchi yenye watu wa hovyo, sio rahisi kuelewana na jirani yoyote yuleTz na Kenya ni watoto wa mama mmoja baba mbalimbali ndio maana hawaishi kufanyiana vituko