Mbona hizi nchi mbili zinapenda kusumbuana?

Hahaha na mtataga boga.

Naona clearing agents wa Kenya ndio wamepata kichaa kwa kuiropokea serikali yao ndio ya hovyo kwa kuchochea migogoro ya kipimbi.

Yaani kwenye hizi quarrels za mipakani all times wakenya ndio hulia na kuonekana kuathirika zaidi, mtajua hamjui and this time hatupokei hata simu ya uhuru aje kwa magoti mpaka kwa DC wa Longido.
 
Hapo wafanyabiashara wa kenya wanatambua makosa yapo kwa viongozi wao wenye ndimi mbili
 
Kama ni Kenya ina makosa basi serikali ya Kenya ijirekebishe. Biashara lazima iendelee, covid 19 isilete chuki baina ya nchi hizi mbili.
Huo ndo ukweli..hakutakuwa na mbabe kwenye Holi suala zaidi ya kuumiza raia wa kawaida.
 
Wameongea ukweli..hizi go return go return kwa vitu vya kijinga inacost na kuudhi sana
 
Kama ni Kenya ina makosa basi serikali ya Kenya ijirekebishe. Biashara lazima iendelee, covid 19 isilete chuki baina ya nchi hizi mbili.
Kenya mnagombana na majirani zenu wetu , lazima mjirekebishe vinginevyo mtaendelea kulalamika kila siku, ninyi sio watu wazuri, kama mlishindwa kuelewana na Nyerere na Kikwete ambao walikua ni watu wapole wasiolipiza kisasi, kamwe hamtowezana na Magufuli.
 
Tony254,

Yani nyie mnaomba rushwa ili mtu apate certificate....alafu unakuja apa kusema tunasumbuana...nyie ndio wapuzi kwanza kuvunja makubaliano yasiyo zidi hata mwezi toka yafikiw pili ushuzi wenu wa kuomba rushwa inamana kwenu covid19 ni biashara...my take we must close this border for real.
 
Tony254,

Tz na Kenya ni watoto wa mama mmoja baba mbalimbali ndio maana hawaishi kufanyiana vituko.
 
Tony254,

Shida ujui ipo wapi? Kenya uongozi wake ni kikundi Cha kiuni hakuna nidhamu serikalini kila mmoja anafanya anavyotaka , Katika serikali ya Tanzania kunatumika misingi ya kuheshimiana ila Kenya hiko kitu hakipo ndio maana yote yanatokea madereva wa Kenya wamesema sisi tukienda TZ vyeti vyetu wanavitambua Ila Kenya haitaki kutambua vyeti vya TZ ndio maana mpaka umefungwa Sasa Kama viongozi wenu wanapoingia makubaliano wanakua wametoka kula mirungi bc mwaka huu watanyooka tu hii ni TZ haifanani na Nchi yeyote A. Mashariki hii kwa misimamo sisi wafanya biashara wa mikoa hiyo baadhi watapata hasara Ila ninyi mutapambana na mfumuko wa bei Nchi nzima Sasa tutaona nani atakaeumia zaidi.
 
Kwahiyo hapo mpakani namanga kinachokupitisha kuingia Kenya ni hela yako siyo majibu ya testing ya Corona. Wakenya punguzeni rushwa mtauwa wenzenu kwa tamaa .
Na ndio maana wanalazimisha kupima mpakani mfumo wa kutumia vyeti watakosa rushwa ,hii inaonesha jinsi gani Kenya haina serikali ingekuwa Tz hao jamaa wa mpakani saa hizi hawana kazi wote.
 
Tz na Kenya ni watoto wa mama mmoja baba mbalimbali ndio maana hawaishi kufanyiana vituko
Vipi kuhusu Kenya na Uganda, au Kenya na Somalia?. Kenya ni nchi yenye watu wa hovyo, sio rahisi kuelewana na jirani yoyote yule
 
Hivi Mimi hushangaa sana, Tuliambiwa kwamba Kenyatta ni mwanadiplomasia sijui mtaalam wa mahusiano ya kimataifa sio kama Mzee wa chato.

Lakini kwa sasa Kenya INA migogoro na:

1. Somalia - Indian Ocean
2.Ethiopia - Somalia airspace control
3.Tanzania - Tradewar / Covid
4.Uganda - Tradewar/ Covid/ SGR

Jambo LA kwanza. Mzee wa chato alifanya ni kurudisha mahusiano mazuri baina ya Tz na Rwanda; Malawi ambayo yalizorota enzi za kikwete.Mjitafakari sana mikenya na huyo " Mwananadiplomasia" wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…