Mbona hizi nchi mbili zinapenda kusumbuana?

Nyie mkimwaga mboga tunamwaga ugali, akili inarudi mahali pake. 2,000/- ya kenya hiyo hongo ya nini? Mnaona fahari kutaja Tanzania ngeke nyie
Kama ni Kenya ina makosa basi serikali ya Kenya ijirekebishe. Biashara lazima iendelee, Covid-19 isilete chuki baina ya nchi hizi mbili.
 
Aisee leo umeongea points muhimu sana ningekuwa bungeni ningekupigia makofi
Kama kuna kitu kinaumiza mambo kama haya wanaomia ni wananchi wa kawaida wao wanapokea tu kodi zetu mwisho wa mwezi viongozi wa afrika ni watawala tu
 
huo mpaka ufungwe kabisa hadi watu waheshimiane,la sivyo utafunguliwa kesho usikie malalamiko tena.ila wabongo msijali rushwa kwetu ni kipaji yani
 
huo mpaka ufungwe kabisa hadi watu waheshimiane,la sivyo utafunguliwa kesho usikie malalamiko tena.ila wabongo msijali rushwa kwetu ni kipaji yani
Solution ni kujenga bandari kavu wakenya wawe wanachukulia mizigo yao pale mpakani
 
Solution ni kujenga bandari kavu wakenya wawe wanachukulia mizigo yao pale mpakani
Mimi sitaki bado kuunga mkono hilo kwa sababu (1)Nia yetu ni kuongoza Kiuchumi katika Kanda na kwa bahati nzuri mshindani wetu ndie anaetupa Mabilioni ya dolla kila mwaka kupitia Biashara ...so mambo ya bandari kavu yatachelewesha na ku discourage biashara Nyingi.....Tutafute njia mbadala.
 
Namuagiza Magufuli awaambie JKT wajenge ukuta kama.ule w mererani au ule Wa Trump mexico and Kenyans will pay the cost
 
Kama ujapeana pesa ksh2000 andikia hiyo tzii positive hakuna kukanyanga kenya
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe nia yenyu si kuondoa poverty ni kuipiku Kenya kiuchumi[emoji23][emoji23][emoji23]no wonder povu uwatiririka data zikitoka kila mwaka. Hilo mtangoja sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…