Mbona huyu TID amekwisha hivi??

kuna mdau humu,aliuliza kama hivi juu ya Ngwea,wiki moja baadae ngwea akafa!!!kwenye ile post wengi walisema ni madawa,na kweli kafa kwa madawa
 
mibangi na midawa yakulevya hata huyu ni wale wale wakina ngwea ,kifo chao ni kimoja eti hapo ndio anasema anataka kuoa hhahahahaahahahahaah yaani hata huyo mwanamke anayemkubali huyu kweli ni kiazi.


Usiseme hivyo mkuu, kwa wanawake anything is possible. Usikute kuna mademu hata humu JF wanamlilia.
 
Jamaa kaisha kweli.
Kuna siku uwanja wa TPA 77 kulikua na pambano la Cheka vs Mashali...jamaa alikuja basi alikua yupo very weak..yani alikua kalegea kishenzi...
Masela wakamzingua zingua yani hana ile heshima ya jina alilo nalo.
Alikua kalegea sana kama sio shoga huyu jamaa basi uteja unammaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…