Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani huyu jamaa ana'keep figure au ni mambo yetu yaleeeeee.....
mibangi na midawa yakulevya hata huyu ni wale wale wakina ngwea ,kifo chao ni kimoja eti hapo ndio anasema anataka kuoa hhahahahaahahahahaah yaani hata huyo mwanamke anayemkubali huyu kweli ni kiazi.
Usiseme hivyo mkuu, kwa wanawake anything is possible. Usikute kuna mademu hata humu JF wanamlilia.