Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

Its called class, people.
qhwah90ijirkf5a1e532fc37b9.jpg
 
Mkuu umenisikitisha Sana. Ukumbi wa Bunge la Tanzania ni mzuri na wa gharama Mara elfu ya ule wa mabunge ya uingereza, lakini ndio Bunge lenye vilaza wengi kuliko mabunge yote duniani[emoji39][emoji16]

[emoji2][emoji2][emoji2]
Ukute Wewe unaejihisi ni mwenye akili hujawahi hata kuwa monita wa Darasa,
Halafu ukute huna hata uwezo wa kushawishi watu 10 wakakuamini,
Huyo unaemwita kilaza ameweza kushawishi au kufanya figisu hadi amekwea mjengoni, Sio rahisi kama unavyodhani.
Heshimu waliokuzidi.
 
Its called class, people.
qhwah90ijirkf5a1e532fc37b9.jpg
Ilikuaje state house ya Uganda na Kenya zikawa zinafanana kama mapacha! Halafu hii yenu ilikua inatumika kama dormitory ya shule ya wakoloni, watoto walikua wana kojoa kojoa humo ndani. Hii ni aibu ninge washauri mjenge nyingine maeneo ya Kajiado kuepuka hizi aibu ndogo ndogo
 
Back
Top Bottom