pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Its called class, hiyo ya TZ inakaa jumba la MosqueOne looks like the Greek Parthenon.
The other looks like an Arab mosque.
Hiyo ya chini nilidhani msikiti wa makaKenya State House
View attachment 1109366
United Republic of Tanzania State House:-
View attachment 1109367
Ya bongo kama msikiti ya kenya iko vzr mtoa mada akili yako ina kimba kichwani
Kenya State House
View attachment 1109366
United Republic of Tanzania State House:-
View attachment 1109367
Kwaupeo wako unaona zile ndio mzee ni nguvu yabushawishi? Stupid[emoji2][emoji2][emoji2]
Ukute Wewe unaejihisi ni mwenye akili hujawahi hata kuwa monita wa Darasa,
Halafu ukute huna hata uwezo wa kushawishi watu 10 wakakuamini,
Huyo unaemwita kilaza ameweza kushawishi au kufanya figisu hadi amekwea mjengoni, Sio rahisi kama unavyodhani.
Heshimu waliokuzidi.
Ilikuaje state house ya Uganda na Kenya zikawa zinafanana kama mapacha! Halafu hii yenu ilikua inatumika kama dormitory ya shule ya wakoloni, watoto walikua wana kojoa kojoa humo ndani. Hii ni aibu ninge washauri mjenge nyingine maeneo ya Kajiado kuepuka hizi aibu ndogo ndogo
Mkuu wewe utakua unajicho kali sana. Umepita mule mule au hii story ulikua unaijua. Hiyo ilijengwa kuwa dormitory ya shule ya mabeberu. View attachment 1109457View attachment 1109458
eti state house daaaaah hivi hujaona aibu kuipost.... kama hosteli za vyuo vya kata huku TZ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Its called class, people.
Hiyo ya TZ inakaa msikiti
Unazungumzia zile hostel za joint expansion au zip,Ongea ukweli Ikulu ya Kenya ni km hostel za Magufuli [emoji3]
.....and the famous walkway.
Kama la uingereza!Hata jengo la bunge Lao ni la kawaida