Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

Mh, Basi macho yako imepigwa upofu wa patriotism, ita mtt wako mdogo muonyeshe hizo picture mbili, mwambie anapenda ipi, utapata jibu.
 
Dom is the capital, iyo mnaoneshwa ni ya dsm, ya kwenu ya nai inakaa inafanana na ya mbeya.
 
Vipi waingereza wakajenga jumba la kifahari Nairobi, na msikiti Dar? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Basi ni kweli wanavyosema. Kenya ilikuwa ndiyo crown jewel yao Africa.
It is germans.
 
Misikiti inajengwa kama castle na watch towers kweli mungiki hamjielewi kabisa
 
We jamaa sio mzalendo kabisa hii ni ligi ujue au mwenzetu ndio wale watanzania wenye asili ya asia wana ikulu ya magogoni na delh
 
Mh, Basi macho yako imepigwa upofu wa patriotism, ita mtt wako mdogo muonyeshe hizo picture mbili, mwambie anapenda ipi, utapata jibu.

That's a no-brainer.
Mtanzania tu ndiye anaweza dhani State House yao inavutia.

Uganda walipenda State House ya Nairobi sana, mpaka wakajenga State House identical huko Entebbe 2008.
 
We jamaa sio mzalendo kabisa hii ni ligi ujue au mwenzetu ndio wale watanzania wenye asili ya asia wana ikulu ya magogoni na delh

Kuwa na uzalendo haimaanishi kudanganya kuwa kitu kinavutia, ilhali unajua hakivutii.
 
hahaha eti hostel
ila akili ya muafrika itabaki pale pale, viongozi wajenge ikulu nzuri mnaita anasa,wajenge mbaya mnaita hostel
 
Hahaa, i answered a guy that it looks like braeburn hostels of arusha, alafu nakutana na hii. Duh.
Hahaha! πŸ˜€ Eti Braebun School, hivi unajua wamiliki wa mashule ya Braebun ni kina nani? Au wewe uliona tu Arusha Branch ukajua ni ya watanzania? Braebun Group of Schools zinamilikiwa na wakenya. The jokes on you! [emoji1]
Hamna kitu hapo, imekaa kama hostel ya braeburn school, arusha branch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…