Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

Mbona Ikulu ya Kenya haivutii Kama Ikulu ya Tanzania

I see why it would seem so to people without class.

First of all, its not a palace. It's the presidential office. The only president who has ever slept there is Kibaki.
Secondly, it's not the best looking presidential residence in the world, but it is hundreds of times better-looking than that mosque in Dar.
Mh, Basi macho yako imepigwa upofu wa patriotism, ita mtt wako mdogo muonyeshe hizo picture mbili, mwambie anapenda ipi, utapata jibu.
 
Lol.. Maskini milioni 60 na mnaongea kuhusu kujenga ikulu zingine?
Upumbavu mkubwa.

Kenya tumetosheka na ikulu iliyojengwa 1907. Hatujengi ingine.
Na kama wakoloni hawangejenga hio ikulu Nairobi, raisi hapa angetafutiwa apartment kama Prime Minister wa UK. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dom is the capital, iyo mnaoneshwa ni ya dsm, ya kwenu ya nai inakaa inafanana na ya mbeya.
 
Vipi waingereza wakajenga jumba la kifahari Nairobi, na msikiti Dar? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Basi ni kweli wanavyosema. Kenya ilikuwa ndiyo crown jewel yao Africa.
It is germans.
 
The tallest parliament in Africa under construction.
IMG_20190404_170133.jpeg
 
Wewe kweli akili umepoteza wapi?
State House ama presidential palace ni jumba la kuonyesha nguvu/power. Sio ukumbi wa maombi kama hio ya Tanzania.

Na kuna majumba mengi ya kibinafsi ambayo ni makubwa kuliko palaces.

State House ama palaces mingi ziko na Greek-style pillars? Waanzilishi wa demokrasia.

Hiyo yenu ya Tanzania ni wannabe wa zile golden palaces za middle east. Lakini ata haikaribii. Haivutii kusema kweli.
Misikiti inajengwa kama castle na watch towers kweli mungiki hamjielewi kabisa
 
We jamaa sio mzalendo kabisa hii ni ligi ujue au mwenzetu ndio wale watanzania wenye asili ya asia wana ikulu ya magogoni na delh
kingine ikulu yetu ilijengwa na wajerumani, yao ilijengwa na waingereza, hivyo iko nje ya uwezo wetu na wao kusema tulijiamulia ikulu ziwe hivyo

na kuhusu bunge lao lilijengwa na waingereza, ila letu tumejenga wenyewe karne ya 21 hivyo kwa kuwa letu ni la juzi tu ni dhahiri litakuwa la kisasa
 
Mh, Basi macho yako imepigwa upofu wa patriotism, ita mtt wako mdogo muonyeshe hizo picture mbili, mwambie anapenda ipi, utapata jibu.

That's a no-brainer.
Mtanzania tu ndiye anaweza dhani State House yao inavutia.

Uganda walipenda State House ya Nairobi sana, mpaka wakajenga State House identical huko Entebbe 2008.
 
We jamaa sio mzalendo kabisa hii ni ligi ujue au mwenzetu ndio wale watanzania wenye asili ya asia wana ikulu ya magogoni na delh

Kuwa na uzalendo haimaanishi kudanganya kuwa kitu kinavutia, ilhali unajua hakivutii.
 
hahaha eti hostel
ila akili ya muafrika itabaki pale pale, viongozi wajenge ikulu nzuri mnaita anasa,wajenge mbaya mnaita hostel
 
Hahaa, i answered a guy that it looks like braeburn hostels of arusha, alafu nakutana na hii. Duh.
Hahaha! 😀 Eti Braebun School, hivi unajua wamiliki wa mashule ya Braebun ni kina nani? Au wewe uliona tu Arusha Branch ukajua ni ya watanzania? Braebun Group of Schools zinamilikiwa na wakenya. The jokes on you! [emoji1]
Hamna kitu hapo, imekaa kama hostel ya braeburn school, arusha branch
 
Back
Top Bottom