Dhuks
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 1,629
- 697
wewe uko bias unatetea Wajaluo! Mimi nilikuwa Nairobi 2007 wakati wa fujo, na sisi tulisalimika kuuliwa na Wajaluo kwa kukimbilia Ubalozini (TZ) kwetu, Wajaluo ndio walikuwa wanawaua ndugu zetu Wakikuyu, wanakuja kwa makundi na mawe na mapanga wanakusimamisha wanakuuliza jina wakigundua tu Mkikuyu kisu! Usipotosha bhana Wajaluo wameua sana!
We dont need to relive that here, it was like that in 2008 but when the heat on kikuyus became too much and the government did little to protect them they did exactly that so every side has its own scars, no need to hate any tribe because of the deeds of some individuals.