Bwana bwana mwenyewe nishakuwa ka chizi. Nilikuwa siwezi kaa kuangalia kitu kinachochukua zaidi ya dakika 15 lkn kwa MARAClARA nimenyoosha mikono.Natamani nifunge kwa maombi ili mama yake na Gerry apone ule mdomo aseme ukweli.Lol!
Jamani jamani. I hate kutawaliwa na jambo naona sasa hali hii yanijia last month nimeanza kufatilia series niliyoikuta imeshaanza Star Tv yaani MARACLARA, aiseee huyu Director this time amefanikiwa kunikamata, Ameniteka loh mbona nilishaacha kufatiliya tamthiliyaaa nini tena hiki..hapa nasubiria tu Ijumaa naona haifiki
kabisa mkuuAddiction nyengine ni kujiendekeza tu
hiki ndicho kilichonifanya niache kuangalia hizo tamthiliyaNamshukuru Mungu nilidhamiria kuacha kuangalia hizo tamthilia na nikaweza....
Aisee ni utumwa!!!
nikisema "Childish " mnanichana,
niambieni hii niiteje.